Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
20. Low Income Neighborhoods

Tandale vs Kibera (Watu wote tuanze kucheka sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 )

Tandale
View attachment 2940829

vs

Kibera

View attachment 2940830
Usidhani sisi Wajinga, Low income areas in Dar look like this.
stock-photo-the-harbor-slums-of-dar-es-salaam-in-tanzania-september-625672427.jpg
3233303875_7576f330b6_z.jpg
 
It is slightly better ndio maana nimeipea 59% na nikapea Kasarani 50%. Talanta however is in its own league. Talanta unaweza upeleka hata Europe na bado utakuwa among the best stadia. Hiyo Mkapa yenu hata haugusi Amahoro ya Rwanda.
Unaugua wewe.
Uwanja wenye design kama turubai la mpira??
Mkapa ni bora kuliko hiyo Talanta.
Sijaona cha ajabu kwenye hiyo Talanta zaidi ya shape kama Turubai la msiba.
Europe hakuna viwanja vilivyokaa kama maturubai ya msiba kama wa Talanta.
Kuwa na adabu.
 
Wacha nikueleze polepole uelewe.
1. Talanta exterior is covered with self cleaning ETFE Membrane, Mkapa exterior is ugly concrete AKA Zege.
2. Talanta has folding seats, Mkapa has fixed seats.
3. Talanta has a parking for 3000 vehicles, Mkapa has a parking for 600 vehicles.
4. Talanta is purpose made with no running track inside the stadium giving a better football atmosphere, Mkapa has an ugly running track making the stadium wider and fans seat further from action.
5. Talanta has a fully covered fan section with an extention of transparent ETFE completely protecting fans from rain, Mkapa is almost 70% open.
6. Talanta is way more beautiful.
 
Talanta only exists in your heads. What match has ever been held in Talanta stadium? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom