Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jeshi la Instagram Tu 🀣🀣, sasa hivi utasikia wamekong'otwa wanalialia humu πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu nilisikia wanaenda haiti,lini wanaanza hiyo safari πŸ˜„
1710756965963.png
 
Subiri Kwanza dollar to stablize in Kenya ikishindikana ruto atafute mikopo tena πŸ˜‚πŸ˜‚

Nchi imefeli kwenye kila kitu mamaeee
Hivyo ndivyo mnafundiswa kwenye economics classes? OMG!!!
 
Yenu iliishiwa wapi??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mulidhani BRT ni kama Kula mutura
View attachment 2940460
🀣🀣🀣 Itawachukua miaka zaidi ya 50 kufikia hapa sisi tulipo as far as BRT system is concerned,

Yani kwenye haya mambo matatu ambayo sisi tuliamua kuwekeza heavily

1.Bridges
2.SGR
3.BRT system


Haya maeneo hao mbwa itawachukua more than 50 years to reach where we are currently.
 
Who own thestar.co.ke ?
Mama Ngina ama.
Yaani mnajiita best nyie wenyewe. Stupid Kenyans.
The star us a newspaper bongolala. It reports news happening around the world. Taarifa waliopost ni ya Airports Council International.
 
Habari iko hadi kwenye magazeti, 8 years of failure. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Image
Kumbe unatamani BRt ishindikane.? 🀣🀣 Endelea kutamani, sisi tuko busy kuwekeza to the point that hata marekani awepee pesa za bure hamtakaa mtufikie kamwe.

Guess what 3 phases of BRt are under way.. phase 2, phase 3 and phase 4.

tumeagiza buses mpyaa 170 for BRt phase 1 ili kuongeza efficiency. Hii itafanya kuonongeza buses kufikia almost 400 for BRt phase 1 alone.

Kwahyo we kama unaumia jiandae na kifo mana utaumia zaidi 🀣🀣🀣 pole
 
yaani wenzetu wana import second hand cars from sauz africa. Basi pia haikosi mna import from Kenya πŸ˜‚
View: https://www.instagram.com/reel/C4uV5XRtLvX/?igsh=MWVweHB5dWxzaXowbA==

Ndio unavojidanganya na ww kwamba nyinyi muna assemble scania au sio haya tuletee list kua AVA ame assemble scania trucks ngap kwa mwaka mm nifunge ACC SASA hvi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Most of scania Munatumia zinatoka either South Africa au Europe (UK) hamuna plant ya Scania Kenya, the only active Scania plant iko South Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani zile Benz actors munatumia hua muna assemble kwenye ndoto ya mchana au ya usiku?? Punguzeni sifa ambazo hamuna dunia ishabadilika na nyinyi badilikeni hakuna mjinga SASA hvi
 
Back
Top Bottom