Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar is a slum kwa shamba za mihogo. Yani eti hapa pia ni dar is a slum. 👇 👇 😂 😂


View: https://x.com/eastafricatv/status/1767965212521504783?s=20

Umesahau naislum yote ni pori?

PicsArt_12-12-11.45.24.jpg
 
Hii thread watanzania almost kama wote ni maskini. Ukiona mtu hajipendi anatumia tu picha za watu wengine just know that huyo jamaa anapitia mashida.
Sidhani, nadhani nyie mafala ndio mmekulia kwenye umasiki so mkiona mtu kawazidi mnakataa, Kwani Chris Mauki hawezi kua humu?

Mnajifanya kua mko na hoja kumbe mnajichora. JF usiichukulie poa ukiona hawa watoto wa juzi wanaandika utumbo usidhani wote mafala humu. Kuna mpaka Waziri humu.
 
Ndio unavojidanganya na ww kwamba nyinyi muna assemble scania au sio haya tuletee list kua AVA ame assemble scania trucks ngap kwa mwaka mm nifunge ACC SASA hvi 😂😂😂😂😂😂

Most of scania Munatumia zinatoka either South Africa au Europe (UK) hamuna plant ya Scania Kenya, the only active Scania plant iko South Africa 😂😂😂😂

Kwani zile Benz actors munatumia hua muna assemble kwenye ndoto ya mchana au ya usiku?? Punguzeni sifa ambazo hamuna dunia ishabadilika na nyinyi badilikeni hakuna mjinga SASA hvi
Wanaamini tunaimport Used Cars kutoka kwao? 😂😂😂😂. Wanaongea utafikiri Wajapan 😂
 
I cannot even be surprised at this point that you spent zero time reading this post.

View: https://x.com/kindikikithure/status/1770405002839794018?s=46
View attachment 2940620

FYI these assault rifles are made in Kenya
View attachment 2940621

You've totally failed to counter banditry, they're killing civilians and expand their territories each day, now you're focusing on introducing nyumba 10 mode from Tanzania, at least you've realized you've fairly and squarely failed, nex
next move njooni tuwape msaada wa kijeshi sababu hayo mambo tunayaweza, kwani unawasikia tena wale magaidi wa Mozambique?

Eti borrowed and perfected wakundustan bana

View: https://twitter.com/CTP_Kenya/status/1769807081622618595?t=cu90HyeQR5JnvJqjjWMecQ&s=19


View: https://twitter.com/focusdigito/status/1770476576997581300?t=joANaEHEMKi9B9i3fGEjFw&s=19


View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1330072455206084608?t=wA7w9cJiHUxrpioascwtCw&s=19
 
Back
Top Bottom