Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's just partnership, your government does not own the hospital. Show me anywhere imeandikwa it's a public hospital nifunge hii account sahii. Yani bongoslum has very few public hospitals hadi serikali inabidii ifanye partnership na private hospitals. 😂 😂 😂 Hospitali zenu zote amabazo zinamilikiwa na serikali zinajulikana, I still insist, mutuonyeshe ni gani zinafanya brain or spinal surgery apart from Muhimbili na Benjamin Mkapa. 😂😂😂
Ndio maana nakwambia ww umelewa😂😂
Screenshots_2024-03-16-19-34-09.png
 
Toa ujinga wako hapa KCMC iko chini ya serekali ya Tanzania

Akili zako ziko kwenye makalio 😂😂😂😂
View attachment 2936511
Ataleta ubishani wa kipuuzi kama siku ile.
Hajui historia ya hiyo hospitali aisee.
Watuambie wao mbona Aga khan wafanyakazi wake hawalipwi na Kenyan government??
Bugando na KCMC zina historia yake na serikali ila huyu fala hawezi elewa atatia kelele tu hapa ni wa kumpuuza.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona hii ng'ombe.
KCMC ni Faith based organisation inayolelewa na serikali.
Hao staff members wa KCMC wanalipwa na serikali ya Tanzania na kila mwezi 1 billion Tzsh huingizwa KCMC kwaajili ya uendeshaji.
Hata ujenzi wake 70% kuanzia ardhi mpaka jengo ni serikali.
KCMC na BUGANDO HAVINA TOFAUTI NA NDIO MAANA IMEWEKWA KAMA HOSPITALI YA KANDA.
Kwani hakuna private hospitals Moshi??
Mbona MOI hawakuenda kwingine wakaenda KCMC??View attachment 2936476
Wacha upumbavu KCMC haikujengwa na GOT bali Good Samaritan foundation! GoT ilitaifisha na kuchelewesha maendeleo yake! Badala ya KCM UNIVERSITY kuanzishwa 1970s imekuja kuanzishwa 1990s!

 
Ndio maana nakwambia ww umelewa😂😂
View attachment 2936530
Enyewe wewe hua pumbavu, kwa hivyo unataka tuamini a source from google maps where anyone can edit and write anything na tuache a reliable source from the government. Ministry of Health in Tangagiza inasema ni private hospital.😂 😂 😂 😂 👇 👇 Wewe unapinga kama nani?
Screenshot_20240316-184735.jpg
 
Wacha upumbavu KCMC haikujengwa na GOT bali Good Samaritan foundation! GoT ilitaifisha na kuchelewesha maendeleo yake! Badala ya KCM UNIVERSITY kuanzishwa 1970 imekuja kuanzishwa 1990s!
Halafu we jamaa huwa unakurupuka kama umechomekwa mjiti wa matako na huwa hauji kwa ustaarabu.
Unajua ushirikiano wa Nyerere na Good samaritan???
Hiyo KCMC serikali imechangia kuijenga matako meusi wewe.
 
When this whole project is done…. It will definitely resemble a first world country… am glad an American company is in charge… no shortcuts….
Hio video alipost Huyo zwazwa wenu nimebakia kucheka Yani video yote inaonesha Barabara tena ambayo sio ndani ya tatu city 🤣🤣🤣🤣🤣 video nzima watu wamekaa kwenye gari wanaongea tu
 
Enyewe wewe hua pumbavu, kwa hivyo unataka tuamini a source from google maps where anyone can edit and write anything na tuache a reliable source from the government. Ministry of Health in Tangagiza inasema ni private hospital.😂 😂 😂 😂 👇 👇 Wewe unapinga kama nani?
Screenshot_20240316-184735.jpg
Eti KCMC ni private nimecheka Sana Leo🤣🤣
Screenshots_2024-03-16-19-34-09.png
 
Halafu we jamaa huwa unakurupuka kama umechomekwa mjiti wa matako na huwa hauji kwa ustaarabu.
Unajua ushirikiano wa Nyerere na Good samaritan???
Hiyo KCMC serikali imechangia kuijenga matako meusi wewe.
Hamna ushirikiano wowote zaidi ya wivu na akili ya Ujamaa! KCMC na Bugando si initiative ya Nyerere Peleka Upumbavu! Serikali ya Nyerere haikuweka hata cent zaidi ya kungoja zijengwe zifunguliwe halafu azitaifishe! Usifikiri sie Wapumbavu kutojua ukweli halisi!
 
Hamna ushirikiano wowote zaidi ya wivu na akili ya Ujamaa! KCMC na Bugando si initiative ya Nyerere Peleka Upumbavu! Serikali ya Nyerere haikuweka hata cent zaidi ya kungoja zijengwe zifunguliwe halafu azitaifishe! Usifikiri sie Wapumbavu kutojua ukweli halisi!
Nabishana na wewe for what??
Unajua kuna mkataba uliingiwa kati ya Nyerere na wakatoliki??
Embu kaa pembeni nijadiliane na wanaoweza majadiliano.
 
Ona huyu ng'ombee.


Bugando ni hospitali ya ushirika ambayo inalelewa na serikali.
Ruzuku na uendeshaji unatoka serikalini na ndio hospitali ya kanda kwa kanda ya ziwa.
Toka mwaka uanze 2023 Tanzania ilianzisha mpango wa kupeleka madaktari bingwa hospitali za rufaa za mkoa na kikanda ili kupunguza rundo la kuhangaika kupeleka rufaa muhimbili.
Hii hapa KCMC.
Hii ni hospitali ya kanda ya kaskazini.View attachment 2936458View attachment 2936459
Kusaidia kulipa mishahars haimaanishi ya serikali! Uongozi mzima ni Lutheran church!
 
Kusaidia kulipa mishahars haimaanishi ya serikali! Uongozi mzima ni Lutheran church!
Kwani nimesema ya serikali??
Nimesema ina ushirika na serikali na uendeshaji wake inaendeshwa na wizara ya afya.
Lutheran ni kama tu kiongozi wa anarchy state.
Ila operating body ni serikali ya Tanzania kuanzia ruzuku ya uendeshaji mpaka mishahara.
Kulikua kuna lengo la kuanzisha hii hospitali na wito huu aliuita Baba wa taifa akikusanya wakatoliki wenye maokoto pande mbali mbali.
 
KCMC ni private hospital imejengwa na ushirikiano wa madhehebu ya Kikristo About Us GOOD SAMARITAN FOUNDATION! Kama hujui kitu nyamaza si unajiaibisha!
Usinambie serekali haina ushirika KCMC 😂
How can it be private bado kuna ruzuku za serekali zinaenda hapo na bado kuna ushirika wa serekali?? How can private hospital ikawa na ushirika na serekali tena mpaka kwenye budget kuu ya wizara na yenyewe ipo

Mm au ww Nani asiejua ???😂😂😂😂
Screenshots_2024-03-16-19-08-50.png
 
Back
Top Bottom