President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,370
Nimesoma hiyo taarifa ya hao wamarekani kwenye mtandao wa X. Kumbe wanawapelekea watoto wa shule. 🤣 🤣 🤣 🤣Kwani Kenya ikipokea chakula cha msaada inakuanga nchi nzima? 😂 😂 Kumbe wanafunzi wa Dodoma wamekua wakimalizwa na njaa.
Lakini kwenu huko mpaka watu wazima wanapelekewa misaada. 🤣🤣🤣