Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alipata ajali bongoslum lakini akasafirishwa Kenya kupata matibabu. Mbona hakutibiwa bongoslum? Yani heri wapoteze mda kwa immigration than kuwacha atibiwe bongoslum. 😂😂😂😂
Umeshindwa kujibu swali langu pole sana.
Endelea na kelele zisizo na msingi.
Yeye kuenda tibiwa Aga khan iliopo Kenya ni maamuzi yake huwezi mpangia ila haiondoi kuwa Tanzania tuna sekta nzuri ya afya ambayo hadi raia wenu huja kutibiwa hususan maradhi ya moyo.
 
Mngekuwa na sector nzuri ya Afya Magufuli angeletwa Kenya kupata matibabu.
 
08-03-2021.

8.14PM
Screenshot_2024-03-13-12-37-04-38_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-13-12-36-40-80_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-13-12-36-02-64_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-13-12-35-38-41_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Wewe punguani. Hawa USA ni washenzi, wanakuja tu na mipango yao ya kulisha watoto mashuleni.

Hatuna shida na chakula.
Serikali yenu ingekua na uwezo ingewalisha wenyewe na wakatae msaada wa USA. Lakini ju walikubali inamaanisha wanafunzi wamekua wakilemewa na njaa huko kwa your capital city. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom