Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafosi tufanane wewe empty talker a k.a mnuka mavi.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwamba watoto wa Tz wanakufanjaa.? Wazazi wao ni wachoyo au they are not responsible for their families.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ulitaka tukat
Haya makenge Yana wivu na TZ Kuna hilo bwabwa Moja nimepost picha za wanajeshi wa TZ limeniquote "et hizo combats uniforms mmepewa na UN"
Sasa sijui huko mission walienda uchi?
 
Sijai ona shule ambayo watoto wanashinda njaa.
Na kama ikatokea hiyo shule ipo tatizo ni la uongozi wa shule
.
Mbona hao watoto wakirudi nyumbani hawalalamiki njaa??
TUNATAKA RIPOTI TUONE TANZANIA HOUSE HOLDS KUNA NJAA WANANCHI WANATEKETEA KAMA HAPO CHINI.View attachment 2935495

Mambo ya last year sahii kulinyesha food is in plenty
 
IMG_20240315_180903.jpg
 
Sijai ona shule ambayo watoto wanashinda njaa.
Na kama ikatokea hiyo shule ipo tatizo ni la uongozi wa shule
.
Mbona hao watoto wakirudi nyumbani hawalalamiki njaa??
TUNATAKA RIPOTI TUONE TANZANIA HOUSE HOLDS KUNA NJAA WANANCHI WANATEKETEA KAMA HAPO CHINI.View attachment 2935495
Habari za leo 15th March 2024. Tangagiza inapokea chakula cha msaada kutoka Marekani na UN. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/usembassytz/status/1768533614759702673?s=20
 
The Citizen ni gazeti la Wakunya,limeona likiweka top 10 taarifa hainogo Hadi itafutwe Tanznaia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nyie ni matapeli mnajulikana all over the world.
So why are you posting something that you donโ€™t believe. You mean you believe the half of it๐Ÿ˜‚
Alafu ni wapi imeandikwa ranking? Itโ€™s just a list in no particular order. Always scoring own goals
 
Mbona munapewa chakula cha msaada kama hamna njaa?
Shule umeenda kusomea ujinga??
Chakula wamepewa raia au wanafunzi mashuleni???
Kwahiyo njaa ikae kwa wanafunzi tuu??
Je ninyi chakula walipewa wanafunzi pekee au raia wa rika zote??
Acha taarabu other wise utakua unaleta ubishi wa kipumbavu lete ripoti inayoonesha RAIA WA KAWAIDA MITAANI WAKIPEWA MISAADA YA CHAKULA PAMOJA NA RIPOTI IKIONESHA TANZANIA KUNA HUNGER AND FAMINE KAMA RIPOTI YA WFP HAPO CHINI.
Screenshot_2024-03-15-14-50-50-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom