Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians today I'll be doing an average of 120km/h from Thika town to Alsops Nairobi along Thika Road. Wait for the video alafu mniambie kama Kuna barabara Tanzania that can rival Thika Road in terms of free way.
Ready for it?
IMG_20240315_164113_250.jpg
IMG_20240315_164132_428.jpg
IMG_20240315_164628_961.jpg
 
Waficha aibu. Ndio maana wanaamini hawana slums.🤣🤣
Unafosi tufanane wewe empty talker a k.a mnuka mavi.? 😂😂😂 Kwamba watoto wa Tz wanakufanjaa.? Wazazi wao ni wachoyo au they are not responsible for their families.? 😂😂😂 Ulitaka tukatae msosi.?
 
Pia huyu ni Mtanzania. 😂 😂 😂 Hakuna kitu munaweza fanya, ju ni serikali yenu ilikuabli chakula cha msaada.


View: https://x.com/cw_pedro/status/1768601349334114652?s=20

Sijai ona shule ambayo watoto wanashinda njaa.
Na kama ikatokea hiyo shule ipo tatizo ni la uongozi wa shule
.
Mbona hao watoto wakirudi nyumbani hawalalamiki njaa??
TUNATAKA RIPOTI TUONE TANZANIA HOUSE HOLDS KUNA NJAA WANANCHI WANATEKETEA KAMA HAPO CHINI.
Screenshot_2024-03-15-14-50-50-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom