mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 4,812
- 5,263
Tomorrow’s daily dose will have a bonus..🤣🤣
😂😂😂😂😂 Ona hii nguruwe pori inaazungumza nini.Floods are a catastrophe just like drought. Hua munacheka wakenya tukipokea msaada lakini nyinyi hamtaki tuwacheke. 😂 😂 😂 Bongolalas are hypocrites. Leo mumepokea chakula cha msaada ju serikali yenu imeshindwa kulisha watoto wa shule huko Dodoma. 😂😂😂 Watoto hawawezi kufaa njaa eti ju munataka kufunika aibu.
🤣🤣🤣🤣 ona wanavodanganywa SASA
View: https://twitter.com/jaokojohnmark/status/1768319238412837095?t=m9eB6xTbW4gAbG0ljMSwaQ&s=19
East Africa's longest over water bridge. Busisi bridge Mwanza 3.2 km 👇
View: https://youtu.be/j1xmU_zlgr0?si=mm4sSHv62AUybccK. Wengine Endeleeni kupiga nduru
USA ni taifa la kinafiki na sio taifa rafiki kwa taifa lolote ulimwenguni.
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1768646530146128185
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1768668053590466969
Hao ni empty talkers mkuu utajisumbua njia pekee ya kuwanyamazisha we post tu miradiWamekaa wanashikilia Tanzania kuna njaaa,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Longest cable stayed bridge in east and central Africa
View: https://youtu.be/f2o_pKUTW0g?si=3xmselTLUOwxY3K0
Hii hasira yote ni ju ya hii. 😂 😂 👇 👇 👇 Zoea hizo gunia tafadhali.😂😂😂😂😂 Ona hii nguruwe pori inaazungumza nini.
Ukame unaweza kuepukwa tofauti na mafuriko.
Ninyi kwa mnavyojinasibu kuwa mna uchumi mkubwa tulitarajia mta recruit teknolojia ya kilimo cha jangwa kama walivyofanya Misri.
Matokeo hamkufanya.
Misri wameepukana na ukame kwa kuchimba visima vireefuuu na kuweka akiba kubwa ya maji na kwa kuanzisha kilimo cha jangwani.
Je mafuriko unaweza yaepukajee??
Je ni mara kwanza Kenya kuwa na ukame??
Nchi zinazojinasibu kuwa na uchumi mkubwa hufanya nini kuhusu tatizo kama lenu??
We matako kweli kweli.
Hata sasa hivi bado wanasoma Kenya.Kwa ardhi ya Dar mainjinia wangesoma Kenya DSM yote ingekuwa kifusi
Ni KikuyuBland name ndio nini? Hiyo ni kinyamwezi ama?
The Citizen ni ya Wakunya ndio maana mda wote lazima watafute content za Tzn vs KunyalandSo why are you posting something that you don’t believe. You mean you believe the half of it😂
Alafu ni wapi imeandikwa ranking? It’s just a list in no particular order. Always scoring own goals