Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Empty talker nairobae naona umekomalia eti Tz hatuna misosi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Habari inakueleza wazi kwamba US aid wanajipendekeza kuwaletea watoto wetu wa shule msosi, wewe umekomaa Tz hatuna misosi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii inaitwa kutapatapa. Usifosi tufanane we mnuka mavi
Mbona serikali yenu inakubali chakula cha msaada kama hamana njaa? Mbona hawakukataa?
 
Nimemuuliza hapa aseme lini ilitoka ripoti Dodoma kuna balaa njaa kunahitajika msaada wa vyakula??
Anaruka ruka kama mhaya alotekenywa tyaakoo 'oooh mbona mmepokea sijui niniii'.
 
Mbona serikali yenu inakubali chakula cha msaada kama hamana njaa? Mbona hawakukataa?
Wewe ni fala wawapi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa ulitaka wakatae.? Yani utuletee kitonga halafu tukatae.? Taasisi yoyote binafsi ikiwaletea watu zawadi au misaa serikali ni nani ikatae.? Uliskia wapi charities zikikataliwa.? Naona umeendelea kupost hadi charities za vituo vya watoto yatima walizopelekewa na foreigners kwaajili ya Ramadan uki claim eti ni kwasababu Tz Ina njaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nikikuita zuzu utakataa.?
 
Empty talker nairobae naona umekomalia eti Tz hatuna misosi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Habari inakueleza wazi kwamba US aid wanajipendekeza kuwaletea watoto wetu wa shule msosi, wewe umekomaa Tz hatuna misosi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii inaitwa kutapatapa. Usifosi tufanane we mnuka mavi
Wanatia huruma, wamegeuka makatuni hawana miradi ya maana ya kupost kazi ni empty talk tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni fala wawapi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa ulitaka wakatae.? Yani utuletee kitonga halafu tukatae.? Taasisi yoyote binafsi ikiwaletea watu zawadi au misaa serikali ni nani ikatae.? Uliskia wapi charities zikikataliwa.? Naona umeendelea kupost hadi charities za vituo vya watoto yatima walizopelekewa na foreigners kwaajili ya Ramadan uki claim eti ni kwasababu Tz Ina njaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nikikuita zuzu utakataa.?
Jinga sana hawa.
Ukiwaambia walete ripoti ya Dodoma kuwa na balaa njaa hawana.
Lamamayeee🀣🀣
 
Wanatia huruma, wamegeuka makatuni hawana miradi ya maana ya kupost kazi ni empty talk tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi tunapost progress za miradi yetu ya kimkakati kila leo while wao hawana come back (taifa lisilo na future) πŸ˜‚πŸ˜‚ wanatafuta vijisababu ili waonekane relevant πŸ˜‚πŸ˜‚ hii battle Ilishapoteza maana muda sana kwahyo tutarajie pumba nyingi sana kutoka kwao
 
Wakiangalia miradi inayoendelea Tanzania halafu waangalie miradi inayoendelea kwao failed state wanabaki tu kuandika pumba.
Halafu wengi ni watoto hata ukiangalia argument zao utagundua. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡
Image

View: https://twitter.com/EJ_Mwita/status/1768593658549309942?t=vc9Qe2HrvBMAcuxyfGnwkQ&s=19
 
Back
Top Bottom