Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umenitafuta jirani 😎😎😎Nairobi huwa tunakuja kwa kulazimishwa na ni sababu za kikazi siwez acha kwenda mwanza kula sangara na sato nije kula chapo Nai 😎 and talking about madem wenu bongo tuna pisi za uhakika 🤓
Tuki post madem zetu humu na wake zetu mtakimbia 😎
Na kwa taarifa yako niko mbali hukoooo…. Nakula bata acha nikuekee na tu photos 😎maana nyie hodari wa kupinga kila kitu
wengine tuki post mambo yetu binafsi humu ndani mtakimbia tena acha tuwa enjoy tu 😎

View attachment 2932702View attachment 2932703View attachment 2932704View attachment 2932705View attachment 2932706View attachment 2932707
sisi hatutoki Tanzania yadayada and other short stories. hogwash.....mko watu kumi diaspora lol
 
Uko pesa ya kununua hii? Kwanza mmezoea unofficial environment ndio maana mnakaa kama chokoraa.
Unofficial environment what about your unofficial shoes🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20220419-114632.jpg
 
Hii barabara ya samnujoma ili dizainiwa vizuri sana, kwanza ni pana, eneo lake la katikati kwaajili ya bustani ni pana mno, hii inasababisha huu ujuenzi wa BRT unaoendelea kuwa rahisi since ujenzi unaendelea na barabara nayo inaendelea kutoa huduma bila kero yoyote.
 
That's official shoes. Ama hata hujui official ni nini?

Anyway I understand you are a primary school dropout and you can't know what official and unofficial is.
🤣🤣🤣🤣🤣Maybe official huko kibera Mimi tangu nimekua sijai wahiona mtu amevaa hivo viatu labda wewe uniambie bland name yake ni ipi🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣Maybe official huko kibera Mimi tangu nimekua sijai wahiona mtu amevaa hivo viatu labda wewe uniambie bland name yake ni ipi🤣🤣🤣🤣🤣
Why should I waste my time with someone who doesn't know to write Brand and instead writes bland?

Did you step in any classroom?
 
Back
Top Bottom