Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio haijachukuliwa BOT bana, labda useme toka watch tower ya TPA. BOT ipo mwisho wa barabara inayopita katikati ya TPA na PSPF.

Usidhani Dar sijafika, ingawa nikiwa huko hata Hizo TPA na PSPF hazikuwa akilini mwa mjenzi yeyoye.
Na mda huo ulipofika pia hakukuwa na
Rita tower(30flr)
Uhuru Heights (27)
Lapf(30)
Umoja wa vijana Samora(25 ×2)
Viva towers(21)
Mafuta tower (23)
PSPF jubilee (24flr)
Ushirika tower (20)
Ata majengo.mengi ya upanga hayakuepo na makumbusho

Probably jengo refu kuliko yote Dar.lilikuwa hili
2bbc896c73f5df7639cef0f0620c70f0.jpg
 
nadhani ichoboy alikuwa anatania tu,sote tunajua mombasa ni kubwa kwa size kuliko kariakoo...kama ulimuamini basi naanza kupata shaka kuhusu upeo wako wa kuelewa mambo.

ni sawa tu na huyu kilaza hapa chini siku alipozungumzia matumizi ya smartphone huko kenya...sikumuamini cos nilijua tu anapiga porojo.

8d4191e776f2a8090900ca907a1ac1dd.jpg
karibu sana

Unaumia sana unaposkia kariakoo ni kubwa kuliko size of mombasa city ambayo ni 113 km sq
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Alaf kariakoo yote magorofa 10 to 20 fl

kwan mm niliandika km sq its 113mi sq na kariakoo ni zaidi ya 113 mi sq utakua ushaelewa nafkiri
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

hehe...!
unajitia kidole kisha unanusa

its 113 mi sq ntakua nuimekosea lakin ujue kwanzia leo size of kariakoo is big than size of mombasa city
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Mombasa
Area = 300kmsq

Karaikuu
Area = 0.40kmsq
 
Mlikomboa bombardier toka Canada?
Tumenunua ndege 7 cash zikiwemo boeing 787 mbili, cs300 mbili and bombadir q400 tatu
kenya airways haina historia ya kunujua ndege cash badala yake zote mumelease from ur partners akiwemo klm and star alliance na bado kampuni ina run loss leo 4 yrs hakuna nafuu😀😀😀😀😀😀

Kumbuka shares of kq, gvt of kenya 29% and klm 27% zilizobakia nizawatu binafsi wengi wao kutoka nje ya nchi

Lakini air tanzania is 100% owned by gvt of tz
 
karibu sana

Mombasa
Area = 300kmsq

Karaikuu
Area = 0.40kmsq
Kariakoo inakuumiza sana kichwa maana toka jioni umeshkilia kariakoo hahahah😀😀😀😀😀
Mm hua narudia sentesi yangu niliosema toka awali hii sio ile dar ya 90s hii ni 2017 na ndio maana wakenya wengi wameshtuka kuona maendeleo ya tanzania kwa muda mfupi sana,
 
haha... lia kabisa...

ati 'wakenya wengi....' uniambie utafiti ulifanywa na na nani.
 
Lkn c kibera inachukua 60% of Nai's population
I don't blame you. That is what your country's low level of education has made you to believe. Secondly, you use Wikipedia as your primary source of information. The area you are refering to house more than a half of Nairobi's population has only 98,000 registered voters. now do your math
 
Tassia estate Eastlands...visited a friend although tumekula teargas hapo outering road donholm
39a46966065bb8221e306b0ccca0aa94.jpg
7d18a541775763b3c569558ef1f2f27a.jpg
Pole sana kwa teargass. today was a bad day for most eastlanders. I used to stay hapo Donholm phase 8 then later on Greenspan still within phase 8.
 
Sometimes hide your poor places
You could have done better by showing us your better places badala ya kupiga tu kelele. show us aerial views of your residential estates where a common man lives then we compare and contrast. msilete zile za beach kwa wadosi mnaletanga. just a normal estate equivalent of Donholm ama Tassia umeonyeshwa hapo juu
 
Tumenunua ndege 7 cash zikiwemo boeing 787 mbili, cs300 mbili and bombadir q400 tatu
kenya airways haina historia ya kunujua ndege cash badala yake zote mumelease from ur partners akiwemo klm and star alliance na bado kampuni ina run loss leo 4 yrs hakuna nafuu😀😀😀😀😀😀

Kumbuka shares of kq, gvt of kenya 29% and klm 27% zilizobakia nizawatu binafsi wengi wao kutoka nje ya nchi

Lakini air tanzania is 100% owned by gvt of tz
Ile bombardier iko Canada mshaikomboa baada ya kushindwa kulipa deni?
 
Back
Top Bottom