Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I don't blame you. That is what your country's low level of education has made you to believe. Secondly, you use Wikipedia as your primary source of information. The area you are refering to house more than a half of Nairobi's population has only 98,000 registered voters. now do your math
We jua kibera ni 60%
Na maranyingi huko hawapigi kura maana hajui siku inaishaje
 
the problem with Dar is that it has poor planning....yaani CBD wamechanganya na residential places na pia open air markets..Dar ni mahali utamwona mwenye suti pia utamwona jamaa anayeuza samaki, tena utamwona jamaa aliyetoka tu kupiga mswaki ama kupiga story na mabeshte...hawana order kule ni kama tu Githurai....wakati Nairobi CBD ni pahala pa kazi peke yake na ukitaka residential unatoka kabisa maeneo ya CBD...In Dar, its like having Kasarani residential area right next to KICC and Times Towers...
0f9055efb093874610bb1c37e5d7ffd8.jpg

In Nairobi CBD you will never find apartments za ufala kama hizo za Kariakoo...the only apartments near CBD are very expensive...In the CBD, kama si office spaces ni hotels na stores...imagine having those Kariakoo-like apartments near these skyscrapers? how weird?
2.jpg
britam-2.jpg

11-56-09-22861048_1552568491490399_2596564041195323392_n.jpg
 
Attachments

  • britam-2.jpg
    britam-2.jpg
    28.8 KB · Views: 34
We jua kibera ni 60%
Na maranyingi huko hawapigi kura maana hajui siku inaishaje
No, it's actually 90%. Umefurahi sasa mtoto wa kidanganyika? Nyinyi ni kama Magufuli amewatia kifuli vichwani hamfikirii. unaongea ni kama unaelewa nairobi kuliko sisi tunaoishi humo.
 
the problem with Dar is that it has poor planning....yaani CBD wamechanganya na residential places na pia open air markets..Dar ni mahali utamwona mwenye suti pia utamwona jamaa anayeuza samaki, tena utamwona jamaa aliyetoka tu kupiga mswaki ama kupiga story na mabeshte...hawana order kule ni kama tu Githurai....wakati Nairobi CBD ni pahala pa kazi peke yake na ukitaka residential unatoka kabisa maeneo ya CBD...In Dar, its like having Kasarani residential area right next to KICC and Times Towers...
0f9055efb093874610bb1c37e5d7ffd8.jpg
hahaha...imagine eti mtu anauza samaki imeoza hapo mbele ya central bank mwingine naye amefunga towel ametoka kuoga anaanika pant ya yellow kwa kamba hapo nation center juu. then ukija huku Harambee Avenue mbele ya office of the president, wamama wametandika mkeka hapo chini wanapiga umbeya huku watoto wakilialia kando yao...Inanikalia movie aise
 
No, it's actually 90%. Umefurahi sasa mtoto wa kidanganyika? Nyinyi ni kama Magufuli amewatia kifuli vichwani hamfikirii. unaongea ni kama unaelewa nairobi kuliko sisi tunaoishi humo.
Huwez kusema mabaya ya Nairobi. Ndo maana huwez kukubali kuwa wengi wanaishi kibera
Kama wewe huishi uko jua wakenya wengi wa nairobi hutokea uko
60%
 
hahaha...imagine eti mtu anauza samaki imeoza hapo mbele ya central bank mwingine naye amefunga towel ametoka kuoga anaanika pant ya yellow kwa kamba hapo nation center juu. then ukija huku Harambee Avenue mbele ya office of the president, wamama wametandika mkeka hapo chini wanapiga umbeya huku watoto wakilialia kando yao...Inanikalia movie aise
Pwahahahahaha lol! eti samaki mbele ya Central Bank...haya By the way sio uwongo, hawa jamaa kila kitu iko centralized mahali moja...ndio maana unaweza toka kwa nyumba hapo Kariakoo na in ten minutes uko tayari Central bank ama Port...this is a very confused city...very chaotic...no order...I mean seriously how do you build Kariakoo-like apartments right next to the CBD?
 
afadhali hata Mombasa...residential apartments ziko mbali kidogo na CBD...Dar ni mji wa watu wa all social classes..working class, jobless, white collar and blue collar...in one corner someone is working for a big company in a glass building and in another corner someone is buying malenge or mahindi choma and mtura hapo Kariakoo..Lol! this is chaos...CBD is a place for official business only...ikienda sana hotels and expensive apartments...sio vibanda za mama mboga...huku unaeza pata ata cereal shop hapo nje ya American embassy...😀😀
 
Deni la nani??? Tulivunja mkataba na hio company kwa sababu walianza kutujengea barabara ilio chini ya kiwango so wakadhani wakishtaki tutawalipa mpaka sasa kesi haina mashiko na ndege inafanyiwa final test inakuja
Inakuja lini?
 
Hii ni picha ya CBD nairobi picha kutoka jengo la mikutano maarufu kama kicc

See ni flat town hakuna towers lmao,old designed city with ugly building...Nairobean will never show you this one...
3ef07ed71786139eb0c715b86e435968.jpg
Down town Nairobi ndio hii wanajamvi. ..sijawah ona wakipost hizi picha uku kamwe ,typical African city. ..jaman no filter no nothing...this is really nai cbd lmao
fb3060494497d26d6b6a92d01648949f.jpg
e86e20bcab0413f28dc4a9f065f2ec98.jpg
Oh, C'mon Tuusan. You know you are better than this!

Posting a pic of river road area and claiming it's the CBD? That's exasperation. Then what would you call this?

7e7ac9892424c6bdde38d89ecd05ef8a.jpg

No filters on the pic, just an aerial of the CBD at sunset
 
Dwarf buildings ,let's hope pinaccle will change ur skyline....Hamna tower kabisa ndio maana hua mnalialia sana kuhusu PSPF na TPA
 
seriously very small yani ni ndogo sana duhh😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Dwarf buildings ,let's hope pinaccle will change ur skyline....Hamna tower kabisa ndio maana hua mnalialia sana kuhusu PSPF na TPA
pinnacle wataisubiri 2050😀😀😀😀😀😀😀😀 huku majengo mengine wameanza kupunguza floors from 30 to 15 aibu kweli
 
Back
Top Bottom