Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli utabaki kwamba ukitoa baadhi ya vitu vichache hii miji ni wale wale. ...hakuna wa kucheka mtu apa
 
Kama unajivunia kariako then level yenu bado iko chini this is kilimani
8a2bb3704533aee82d6d053fe60ffff2.jpg
Kilimani ni sehem ndogo sana kulinganisha na kkoo
Af kkoo density ya majengo ni kubwa sana huwez linganisha na kilimani yenu hyo
47febce66c6638300000c2be104ee13d.jpg
 
Wakenya mna uliza Kkoo ni Residential au CBD!! I find this to be a lame question. Mme ambiwa ni both, bado mna kenua kenua!! Kwani ni lazima iwe one of the two.

Kwanza mfahamu ata London na Newyork kuna makazi ndani ya CBD, manhatan kwenye ile mijengo mnayo iona mirefu kuna hotels na apartments na ni very expensive.

Sasa Kkoo ina host business people from Congo, Malawi, China, Oman, Zambia, Uganda, upcountry e.t.c on a regular basis na biashara zao wana zimalizia uko uko. Kuna wafanyabiashara wana maduka na ku rent apartments za uko ili wapate urahisi waku fika kwenye kazi zao.

Mind you apartments za kkoo ni very expensive most huwaga full furnished and modern. So msishangae sana kuhusu CBD kua na Makazi ata P.diddy ana makazi down town Manhattan.

Kama hamjaelewa nendeni kwenye dustbin mka shute!!
 
wapi umeona imeandkwa 'market' hapa???? my fren.... tumia akili.

pitia hapa kisha utaniambia>>> Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location hapa tunaongelea Ward nzima na masoko yote ya samaki na CBD na Surbarb.
Kariakoo sisi twaitambua kama kongo, ushwailini, uhuru, karume, kariakoo (sokoni), lumumba,machinga complex
So huo ni ukubwa wa sehem ya soko
Angalia picha utaona ukubwa wake ata kwa macho
Maana 0.4kmsqr inajulikana kwa kuangalia2
 
thread imeanzishwa na Anna na Jay456, acha kuchukua somebody else's credit. talk of yourself, always use 'I' rather than 'We'..... in other words mimi na wewe hatuna tofauti kwa hii thread
tz ni taifa lilipotia katika misingi ya kijamaa pia watz wengi waliozaliwa baada ya uhuru wa tanganyika na baada muungano wa tanganyika na zanzibar wamekuzwa katika ideology mbalimbali za kijamaa(umoja na upendo)

that being said,ukipata mtz anasema "sisi/we" anamainisha watanzania wote kwa ujumla wake.

huwa hatutumii sana "mimi/i" cos we regard "i" as a sign of selfishness.


"i" is widely used in a country like kenya whose citizens pass through some tribal hatred.we know you guys don't like each other due to tribalism that's why you prefer using "i" instead of "we".

bila shaka "umetuelewa" ndg.
 
Hii ni picha ya CBD nairobi picha kutoka jengo la mikutano maarufu kama kicc

See ni flat town hakuna towers lmao,old designed city with ugly building...Nairobean will never show you this one...
3ef07ed71786139eb0c715b86e435968.jpg
Picha zao zinajulikana
Kuna magorofa mawili lazima picha moja iwepo
Na kuna sehem mbili ila wanapiga different angles
Nairobi ni kadogo2
 
Without Upanga bado mjini kutamu...
Without upanga
Without morocco
Without mliman na mawasiliano
Without Makumbusho
Without all of kariakoo ( no ushirika tower , no mobile plaza, no NSSF umoja wa vijana)
BUT PICHA INAPENDEZA
Picha kama hyo ingeonesha nairobi nzima jinsi kalivyo kadogo
 
Ushaoneshwa kwenye google maps ni almost 3kmsquare
Good. I like people who are honest with themselves. Mwenzako jichoboy siku moja kaniambia Mombasa ni ndogo kwa Kaarikoo.... sasa matokeo yake ndio haya.... pole lakini hii battle imetoka mbali.
nadhani saa hii amejua hajui.
 
Back
Top Bottom