Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa sio 113kmsq my fren...... labda kiriakoo
Asante kwa mchango😀😀😀😀
20170724_100338.jpg
 
Karibu.
umejitia kitanzi mwenyewe kwa kuleta io screenshot na kui-circle mwenyewe.
Why 'mi^2' and not km^2 ???
how many km^2 makes 1mi^2 ???
ignorance is a disease!!! get well soon
kwan mm niliandika km sq its 113mi sq na kariakoo ni zaidi ya 113 mi sq utakua ushaelewa nafkiri
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Inabidi uchukue Mombasa na Nairobi pamoja ndo ifikie Nusu ya Dar es salaam. Hahaaaaa
Karibu.
umejitia kitanzi mwenyewe kwa kuleta io screenshot na kui-circle mwenyewe.
Why 'mi^2' and not km^2 ???
how many km^2 makes 1mi^2 ???
ignorance is a disease!!! get well soon
 
kwan mm niliandika km sq its 113mi sq na kariakoo ni zaidi ya 113 mi sq utakua ushaelewa nafkiri
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Unaumia sana unaposkia kariakoo ni kubwa kuliko size of mombasa city ambayo ni 113 km sq
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Alaf kariakoo yote magorofa 10 to 20 fl
hehe...!
unajitia kidole kisha unanusa
 
its 113 mi sq ntakua nuimekosea lakin ujue kwanzia leo size of kariakoo is big than size of mombasa city
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
correct. 113sqmi! rudia kwa sauti mara ishirini ili ishike kwa akili yako.

how much is the size of kirikuu again?
 
kariakoo inataka kutoa roho za wakenya😀😀😀😀😀😀😀😀
wakiskia kariakoo hua wanakosa amani kabisa
 
more than 113 mi sq remember dar is 1590.5 km sq baba😀😀😀😀😀😀
leta figures! wacha kuumauma meno.

Mombasa population = 1.5million
Mombasa Gdp = 7billion
Mombasa $millionares = 700

sikuskii.....!
 
leta figures! wacha kuumauma meno.

Mombasa population = 1.5million
Mombasa Gdp = 7billion
Mombasa $millionares = 700

sikuskii.....!
1.2 million we usituletee data za kupika za millionares hii sio nairaland😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom