Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubungo Dsm
3cb6c45b5eb08b062711ba78f182e6e4.jpg
 
tz ni taifa lilipotia katika misingi ya kijamaa pia watz wengi waliozaliwa baada ya uhuru wa tanganyika na baada muungano wa tanganyika na zanzibar wamekuzwa katika ideology mbalimbali za kijamaa(umoja na upendo)

that being said,ukipata mtz anasema "sisi/we" anamainisha watanzania wote kwa ujumla wake.

huwa hatutumii sana "mimi/i" cos we regard "i" as a sign of selfishness.


"i" is widely used in a country like kenya whose citizens pass through some tribal hatred.we know you guys don't like each other due to tribalism that's why you prefer using "i" instead of "we".[emoji23]

bila shaka "umetuelewa" ndg.[emoji23]
opinions are like a$$holes. everybody got one
 
Good. I like people who are honest with themselves. Mwenzako jichoboy siku moja kaniambia Mombasa ni ndogo kwa Kaarikoo.... sasa matokeo yake ndio haya.... pole lakini hii battle imetoka mbali.
nadhani saa hii amejua hajui.
Kwa eneo ovious Mombasa ni kubwa coz hii ni ward akat mombasa ni province(region)
Labda alimaanisha kwa majengo
 
mkijenga nyumba kama hizi with good Infrastructure plus planning dar itakuwa mji poa sana...wala si hayo majengo meupe yanayofanana yote
Wewe bado mshamba sana. Na ninauhakika hujawahi fika Dar. Yaani kilicho kuchanganya sana hapo ni glasses maana huko Nairobi majengo yenu ni ya Udongo mwanzo mwisho.
 
Good. I like people who are honest with themselves. Mwenzako jichoboy siku moja kaniambia Mombasa ni ndogo kwa Kaarikoo.... sasa matokeo yake ndio haya.... pole lakini hii battle imetoka mbali.
nadhani saa hii amejua hajui.
nadhani ichoboy alikuwa anatania tu,sote tunajua mombasa ni kubwa kwa size kuliko kariakoo...kama ulimuamini basi naanza kupata shaka kuhusu upeo wako wa kuelewa mambo.[emoji23] [emoji23]

ni sawa tu na huyu kilaza hapa chini siku alipozungumzia matumizi ya smartphone huko kenya...sikumuamini cos nilijua tu anapiga porojo.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
8d4191e776f2a8090900ca907a1ac1dd.jpg
 
Back
Top Bottom