Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwikwikwikwi naona umeanza kujiumbua mwenyewe. Sasa Rita tower na BOT wapi na wapi. Ukipiga kutokea BOT huwezi kuona mgogo wa jengo la TPA
Mkianza Kwikwikwi hua in hoja limewaisha. In these Kenya vs Tz arguments, you should of course follow your heart while arguing, but take your brain with you. Soma hio comment yangu UELEWE
 
Basi ni kama toka bandarini hadi kilimani is a very very short distance with no change in height

ny2.jpg
Tatizo lako unakuwa mbishi wakati hujawahi fika
Kushoto ni baharini na kama majengo yanavyojengwa huwa leveling inafanyika na kujengwa tena
Ivi ata kwa akili yako unadhani apo ndo lilipoanzia akat kuna geti apo la kuingia chini uko
 
TPA limeanzia kwenye sea level ni 178
Nilikuwa nalifatilia tangu linajengwa
Ndo wakenya wakaedit
Ata Mzizima Towers ni 171m na 161m wakenya wamebadili to 134m
Na PPF HQ nalo ni 170 wakenya wameedit to 134
MNF ni 145 wakenya wamebadili to 130
wanabadilisha ukweli kwenda uongo kwasababu kisu cha ngariba kimekita sehemu mbadala😀😀😀😀😀😀
Hehehe, mwanchesha kweli. Nanyi basi si mbadilishe, au hakuna chaguo la kuhariri Wikipedia huko bongo?
 
Mkianza Kwikwikwi hua in hoja limewaisha. In these Kenya vs Tz arguments, you should of course follow your heart while arguing, but take your brain with you. Soma hio comment yangu UELEWE
Ndio maana ninacheka sana. Comment yako haina uhalisia wowote. Eti upige picha toka BOT uweze kuona mgongo wa TPA?
Kwikwikwikwi. Lita tower jengo lake kabla hata ya kufika posta mpya huku BOT yako mbali kabisa karibu na ikulu.
Kwa kuangalia tu utaona BOT yapo kwenye mstari mmoja na TPA huku RITA likiwa nyuma ya PSPF
Halafu RITA lipo maeneo pale ilipokuwa Billcanas club.
Huwa ninacheka sana kwikwikwikwikwi...
 
Hii nayo yaonyesha clear sana tofauti ya zile Nyumba zetu pendwa Ukanda huu
a062bc7d3a979efe7aa2648180e1426c.jpg
Yap. The difference looks like 5 or so meters, not 20something meters as your friends patriotically believe
 
Yap. The difference looks like 5 or so meters, not 20something meters as your friends patriotically believe
Umeanza kulainika sasa. Nagalia sasa hii picha. Hapa naweza kukubali kwamba imepigwa toka BOT. Siyo hiyo ya kwako. Hahahaha!!!
 
Yule jamaa aliesema BOT zinakaribiana na RITA tower nadhani kashaona ni nyumba ziko mbalimbali kabisa...

Kwa mtu ambae amefika apo kwenye izo nyumba ataona namna TPA lilivyona urefu zaidi kidogo sio sahihi kusema majengo marefu ni PSPF
 
Ndio maana ninacheka sana. Comment yako haina uhalisia wowote. Eti upige picha toka BOT uweze kuona mgongo wa TPA?
Kwikwikwikwi. Lita tower jengo lake kabla hata ya kufika posta mpya huku BOT yako mbali kabisa karibu na ikulu.
Kwa kuangalia tu utaona BOT yapo kwenye mstari mmoja na TPA huku RITA likiwa nyuma ya PSPF
Halafu RITA lipo maeneo pale ilipokuwa Billcanas club.
Huwa ninacheka sana kwikwikwikwikwi...
Hio haijachukuliwa BOT bana, labda useme toka watch tower ya TPA. BOT ipo mwisho wa barabara inayopita katikati ya TPA na PSPF.

Usidhani Dar sijafika, ingawa nikiwa huko hata Hizo TPA na PSPF hazikuwa akilini mwa mjenzi yeyoye.
 
Walituambia 20 kumbe 13 yani mkenya anahusudu uongo kuliko kula😀😀😀😀😀
IMG_1216.jpg
 
Yule jamaa aliesema BOT zinakaribiana na RITA tower nadhani kashaona ni nyumba ziko mbalimbali kabisa...

Kwa mtu ambae amefika apo kwenye izo nyumba ataona namna TPA lilivyona urefu zaidi kidogo sio sahihi kusema majengo marefu ni PSPF
I have some questions.

Is Rita to the East or West of PSPF?

Is BOT to the East or West of PSPF?

What are the distances from
1. Rita to PSPF
2. BOT to PSPF
3. Rira to BOT

Ningependa kujua hayo kwa sababu nikiwa Dar nikidhani in BOT tu ndio ilikua iko kati ya hayo majengo
 
Hio haijachukuliwa BOT bana, labda useme toka watch tower ya TPA. BOT ipo mwisho wa barabara inayopita katikati ya TPA na PSPF.

Usidhani Dar sijafika, ingawa nikiwa huko hata Hizo TPA na PSPF hazikuwa akilini mwa mjenzi yeyoye.
Hahaha yaani ninakucheka sana kufika Dar is not an issue kuijua Dar ndio issue yenyewe. Dar es salaam ni jiji kubwa mno Nairobi inaingia karibia mara tatu. Dar es salaam ina kilomita za mraba 1,393 wakati ka Nairobi 696. Kwahiyo unaweza ukafika Dar na usiifahamu dar ndugu.
 
I like it Kenyan investors and not Kenyan government building Nairobi

So what is the big deal, We are Building our Country ourselves, You are country been built by Investors many from Foreign countries and you brag and Happy.

My citie’s all High rises are 100% Government Owned. Don’t talk like it’s a bad thing.

8c62c38e48c3e66969ee09e9571c9940.jpg

11b97574bcb3d7130bdabbd47367b196.jpg

e0062646979adc6129b29425749dfb5a.jpg

0b614bab2cb5e93825988b40e2d688a2.jpg

82a1a1ad520de8b993f47d5fcc0e2002.jpg
 
Haha Kenyan investors are not a joke they cover all east Africa even in Tanzania they employ thousands.... Foreign investors in Kenya shows that we have a good environment for investment....... BTW Kenya is the biggest foreign investor in Tz
 
Back
Top Bottom