much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,549
Nyie labda mnaweza kutushinda kwa tendersLeo Wabongolala wametambua kumbe huwa hawana stadiums. Huwa wanaona Benjamin Mkapa wanadhani wameshinda Kenya kwa stadiums. 🤣🤣
Nyie labda mnaweza kutushinda kwa tendersLeo Wabongolala wametambua kumbe huwa hawana stadiums. Huwa wanaona Benjamin Mkapa wanadhani wameshinda Kenya kwa stadiums. 🤣🤣
Musiwaambie kama hii ni sinza magorofa Tu yanajengwa kila Kona
View: https://youtu.be/tzGlKdM3BXU?si=bvkB9bU8_q-N8ph-
Hatutaki mwenye atakuwa ananyeshanyesha ovyo ovyo baadala afanye kazi.Lini nyie nyang'au mtakuwa na rais mwanamke na muislamu wa kutoka pwani?😁
Haya wanaume wenyewe sasa👇👇👇Hatutaki mwenye atakuwa ananyeshanyesha ovyo ovyo baadala afanye kazi.
Nyie nyang'au bado mna safari ndefu. Tangu uhuru ni kyuk na kalee tu. Mnaona hiyo ni sifa sio?😎😁😎Hatutaki mwenye atakuwa ananyeshanyesha ovyo ovyo baadala afanye kazi.
Eti huyo naye ni msanii wao mkubwa, ha ha ha😎Afya ya akili ni tatizo mda wote yupo kwenye slum unadhania ni mchezo
Hizo 'visehemu vichache' are a million times better than your sprawling uswazi hovelsSasa unapojipa moyo kwa kuchagua visehemu vichache ili iweje? Je, kariobangi itabadilika? Je, Mathare itabadilika? Je, ma slums yataisha?
Wewe ulikuwa na upo nafasi ya ngapi sasa hivi na 'ubora' wa ligi yako mbona haikukusaidia kupata angalau bao moja AFCON?Usifananishe Nigeria na hata wewe nguruwe pori.
Nigeria ina vipaji we kijana,Nigeria kipindi inapigwa ban KINA ALEX IWOBI KIBAO WAKO NJE WANACHEZA LIGI KUBWA.
KENYA UNA VIPAJI GANI WE JAMAA???
Kabla hata hujapigwa ban ligi yako haikuwa ikienda popote na kiviwango vya FIFA hukuwa unaenda popote ulibaki nafasi ileile miaka nenda rudi.
Tell that nikka this is where we belongThe difference is, we up there among the best in the world in rugby while you are ranked number 119 in the world in football.
Hzo international matches mutacheza VP wakat hamulipi wachezaji pesa zao??🤣🤣
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1763063706437427237?t=WLhqwbI-hA0lTbEgr2eDsQ&s=19
Soccer ni investment kama huweki pesa KAZI ni kuweka maneno Tu na sifa Tu hakuna kitu utafanya 😄😄😄😄 kila siku utasingizia FIFA ban
If that Google Earth image depicts a slum then what will we call these ones?Ile kariobangi slum hua hamuineshwi humu ndani 😀😀😀😀😀😀
View attachment 2923929
Well bongolala, you think you put forward a point?Mmeeona nyumba za Mathare, 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Mmeona mtu anakaa pembeni ya uchafu, haya maghorofa yanajengwa hivi issue ya sanitation inakuwaje, matank ya maji taka yanaenda wapi, nyumba zote zina madirisha upande wa balconies tu, na ndio sehemu za kuanikia nguo.
Kuna Mkenya humu akasema wana purchasing power kubwa wanakula KFC, imagine mtu ana hela ya kula KFC hana hela ya kukaa sehemu nzuri na safi, kama sio mwehu ni nini
Hizi picha tuzitunze