muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Hehe!! Zile A220 zinawapasua kichwa 🤣. Ni ndege nzuri sana ila tatizo ni technical support structure. Wazungu au waarabu ndege moja inanunuliwa na injini hata 10, ikisumbua hii inapachikwa hii. Sasa Sisi na umasikini watu hatari 🤣🤣
Hii sheria mpya ya viwanja vya ndege ndo ikoje?? Kuna mazuri yoyote??