Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani ata kudesign vitu kwa plan ni unplanned kabisa!!!
Hamuwezi panga vitu zenu vizuri in straight lines or circles!!!,kila kitu ni shagalabagala!!!
An eyesore to say the least. Whoever did those designs need to be jailed ASAP
 
28 floor twin tower Emerald Sprigs coming up in Westlands. Yani sahi Nairobi 20fl+ buildings are everywhere, and more still coming. In the whole BongoSlum, I can count buildings over 15floors on my two hands.

1709914185215.png
 
In Bongoslum, only the government can build such. Yaani nchi haina private sector kabisa kudadeki. Vitu kama hivi watangoja kujengewa na CCM.

View: https://www.instagram.com/p/C4Pu974I-mH/

Huwa najiulizaga kama ni kwamba mmeamua tu kujisemesha.? Empty talks as usual au ni kweli inamaanisha huo upupu unaouongea.? 😂😂😂 Sasa mbona kuna miradi mikubwa ya nyumba ambayo ni private sector inapostiwa humu kila siku.? Au unataka tuende sasa ground.?
 
Hiyo ndio maana ya serikali yenye nguvu.
Hata hiyo China private sectors nyingi huendelea kwa government subsidies.
Kenya kodi zenu zinapelekwa wapi??
Who told you only Chinese are constructing buildings? Construction is happening all over in Nairobi, Chinese are only in Kilimani and parts of Kileleshwa. Somalis are only in Eastleigh and parts of South C. All the other areas are being developed by locals. Kwenu private investment is a term mnaonea kwa televisheni na magazetini tu
 
Kwamba hilo neno private investments tunaliona kwenye Tv.? 😂😂😂 We unajua kuna kampuni ngapi private zimesajiliwa BRELA.? unajua uwekezaji wa Matajri hapa bongo.? Kwenye industries, Agriculture, transport and communication, health and other different social services.? 🤣🤣. Au kwako wew private investments maana yake ni uwekezaji wa kujenga nyumba.? 😂😂😂.
 
Kenya is miles ahead of Tanzania when it comes to stadiums. Hao Benjamin Mkapa is everything, outside that vitu wanabaki nazo ni grazing fields.
Mile ahead on what? Slums? Hunger? Tribalism or ??😂😂😂😂😂😂

Mtanzania haamini kwenye kujisifia uongo ndio maana stadium zenye FIFA standard ziko Tanzania pekee
 
Kuangalia angalia madude ya Kundustan yanaharibu sana afya ya Ubongo. Imagine nimeingia Modern Airport hapa EA nikaanza kuathiriwa na yale madude ya Kundustan wanakinga maji kwenye ndoo za kudekia😂

The best 007 Nilipita maeneo yako Boss.

View attachment 2928254View attachment 2928254View attachment 2928255View attachment 2928256View attachment 2928257View attachment 2928258View attachment 2928258View attachment 2928259View attachment 2928262View attachment 2928261View attachment 2928260
Guys have you noticed that all pictures of JNIA are almost the same? No matter who posts it’s always the same. Well it’s because the airport is actually way smaller
I don’t usually take pictures a lot when I travel, I wish I could’ve taken more to prove the point but basically my view was just at this location you posted. Huwezi potea, bro i have used JKIA dozens of times and i sometimes still find myself lost somehow
Compare my video with those pictures za terminal
IMG_5587.jpeg

Just like the new terminal at EBB, it’s new yea but small compared to JKIA
Guys have you noticed that all pictures of JNIA are almost the same? No matter who posts it’s always the same. Well it’s because the airport is actually way smaller
I don’t usually take pictures a lot when I travel, I wish I could’ve taken more to prove the point but basically my view was just at this location you posted. Huwezi potea, bro i have used JKIA dozens of times and i sometimes still find myself lost somehow
Compare my video with those pictures za terminal
View attachment 2928665
View attachment 2928667
IMG_8026.jpeg
 
Na sio hukuweza kupiga picha sema unaona aibu kupost maana zitakuumbua we post Tu Acha uoga jinga hii😂😂😂😂😂 ww mwenyewe ulivofika ulijua ni Dubai sio dar
 
Back
Top Bottom