Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubaya ni kwamba mnaongea pasi na uelewa. Nyinyi mnaongea tu msifiwe na vilaza wenzenu mitanzania ndio muonekane mabingwa. Hata hapa Africa, Nigeria is a footballing powerhouse lakini ilishawhi pigwa ban na FIFA hadi ikakosa kushiriki mashindano ya AFCON. Swali ni, is Tanzania better than Nigeria in matters football?
Duh! Mifano yako inachekeshaga, kila mkibanwa mnakuja na mifano uchwara, no wonder mnadanganywa in term of comparing, huku linch halieleweki
 
Duh! Mifano yako inachekeshaga, kila mkibanwa mnakuja na mifano uchwara, no wonder mnadanganywa in term of comparing, huku linch halieleweki
Hakuna kitu watakubali kushindwa 🤣🤣🤣
Hawa ndio watu tulidhani wako level za Singapore au Malaysia hakuna msaada wowote walisaidia Africa

Walijitenga na Africa yote wao wakaanza kufanya biashara bila kujali maslahi ya Africa wakadhani tutawakuta wako level za Singapore ona sasa vile dunia ya ajabu bado wanahangaika na slums,umeme, maji hakuna, madawa hospitalini hakuna🤣🤣🤣 etc
 
You don’t have to be bitter just because you dont have any national rugby team 😂😂
Just answer me brotheee.
I don't give a damn about rugby.
Just answer me the revenue earned in rugby are they equal to the revenue earned in football??
 
Ubaya ni kwamba mnaongea pasi na uelewa. Nyinyi mnaongea tu msifiwe na vilaza wenzenu mitanzania ndio muonekane mabingwa. Hata hapa Africa, Nigeria is a footballing powerhouse lakini ilishawhi pigwa ban na FIFA hadi ikakosa kushiriki mashindano ya AFCON. Swali ni, is Tanzania better than Nigeria in matters football?
Usifananishe Nigeria na hata wewe nguruwe pori.
Nigeria ina vipaji we kijana,Nigeria kipindi inapigwa ban KINA ALEX IWOBI KIBAO WAKO NJE WANACHEZA LIGI KUBWA.
KENYA UNA VIPAJI GANI WE JAMAA???
Kabla hata hujapigwa ban ligi yako haikuwa ikienda popote na kiviwango vya FIFA hukuwa unaenda popote ulibaki nafasi ileile miaka nenda rudi.
 
Danganyeni watu wasiojua mpira, na sio wanaojua mpira..

Kwenye CAFCL, Girl Maria walitakiwa waparticipate lkn waliondolewa sababu ya Madeni na utapeli mliwafanyia wachezaji wa zaman
View attachment 2923797

Kwenye CAFCC, Kakamega Homeboys walishiriki, lkn walikula mkong'oto round ya kwanza ya mashindano (first preliminary round) na katimu ambacho nchi yake ina migogoro kila mara. Na matokeo yake yalikuwa ni haya
View attachment 2923800View attachment 2923802
Mie naombea msimu ujao CAF Gor mahia apangiwe hata Azam Fc preliminary stage ili tuone nani mkali.
Tusiwape Simba ama Yanga tutawaua kihoro.
Au hata Singida big star yani.
 
The difference is, we up there among the best in the world in rugby while you are ranked number 119 in the world in football.
You are blabbering.
Am talking about benefit,wacha kuzunguka kwa bush brotheee.
Nipe faida ya rugby na mimi nikupe ya football kesha tufananishe.
Au mwaenda cheza rugby just for fun??
 
Wanajificha kwenye kichaka cha FIFA ban!
Wajinga hawa,wanataka kufananisha sababu za Ban ya Nigeria na yao.
Nigeria ina academy za mpira hata ilivyopigwa ban wachezaji walikua wengi tu wakienda nje kutoka academy ila wao sasa hata sie tunawashinda tumeanzisha academy ya kukuza vijana na wengi wanaenda nje.
Mie nipo hapa Kenya kwa fifa rank itakua ikishuka kila leo.
 
Back
Top Bottom