Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What about quarter final ya CAFCL 2024. Je fifa ban inawabana hadi huko? Visingizio tele,magoli yote mliyofunga hayakuwasaidia kuepuka fifa ban eeh?
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
 
Ati American football is bigger than Rugby....hehehe. Nevertheless, what sport is tanganyika good at so we ask....please don't give us this yanga simba yada yada nonsense
Am an American football junkie… knows the game inside out and I can definitely attest that the list is straight outta Wikipedia.. 🤣🤣…. American football 🏈 is just that… American… and little bit Canada and Europe…. Rugby 🏉 is worldwide and bigger, no doubt…
 
Hiyo Kariobangi na Mathare unayotaja have better houses, roads (paved) and organisation than your sprawling uswazi hovels that stink to the coreView attachment 2923202View attachment 2923205View attachment 2923624View attachment 2923625View attachment 2923626View attachment 2923627
Mmeeona nyumba za Mathare, 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅

Mmeona mtu anakaa pembeni ya uchafu, haya maghorofa yanajengwa hivi issue ya sanitation inakuwaje, matank ya maji taka yanaenda wapi, nyumba zote zina madirisha upande wa balconies tu, na ndio sehemu za kuanikia nguo.

Kuna Mkenya humu akasema wana purchasing power kubwa wanakula KFC, imagine mtu ana hela ya kula KFC hana hela ya kukaa sehemu nzuri na safi, kama sio mwehu ni nini

Hizi picha tuzitunze
 
Vp bwana yenu hakuomba radhi ila alijua ni wanyama sio watu kundustan

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1764370371921199111?t=kk9ODnC2ldiCpBZ_wEV-Lg&s=19

Wengine walijaribu kumdai Muingereza ardhi anayomiliki nchini Kunyaland wakajibiwa wachore chini wabandue na wao warudishe English waliopewa na waingereza wakanyamaza 😁😁😁

Screenshot_20231031-190028.jpg
20231102_173022.jpg
 
Naona umejificha kwenye kichaka cha fifa ban ili mradi tu upate visingizio anyway bongolala sio tusi kama unavyodhani pole
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
 
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
Danganyeni watu wasiojua mpira, na sio wanaojua mpira..

Kwenye CAFCL, Girl Maria walitakiwa waparticipate lkn waliondolewa sababu ya Madeni na utapeli mliwafanyia wachezaji wa zaman
Screenshot_20240304-072342_Chrome.jpg


Kwenye CAFCC, Kakamega Homeboys walishiriki, lkn walikula mkong'oto round ya kwanza ya mashindano (first preliminary round) na katimu ambacho nchi yake ina migogoro kila mara. Na matokeo yake yalikuwa ni haya
Screenshot_20240304-071635_Goal News.jpg
Screenshot_20240304-072850_Goal News.jpg
 
Vijana wawili Tu wametikisa dunia Huko wameingiza pesa ya mana 250,000
Haya tuambie thamani ya hzo medali
View attachment 2923515
We uko sawa kweli?
What sport us that categorized as? Sasa utaleta any random event hata muhindi wa Azam😂😂
Hata Kama hamna any world stage excellence kwa sport manze AGT is stretching it a bit
 
Ubaya ni kwamba mnaongea pasi na uelewa. Nyinyi mnaongea tu msifiwe na vilaza wenzenu mitanzania ndio muonekane mabingwa. Hata hapa Africa, Nigeria is a footballing powerhouse lakini ilishawhi pigwa ban na FIFA hadi ikakosa kushiriki mashindano ya AFCON. Swali ni, is Tanzania better than Nigeria in matters football?
Kwann msipigwe ban ikiwa pesa za wachezaji hamulipi 😀😀😀😀😀
Na hii ni juzi Tu

View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1763062841899196682?t=iFNH9z6nUGvwTZiNn5zlSQ&s=19
 
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
Hzo international matches mutacheza VP wakat hamulipi wachezaji pesa zao??🤣🤣

View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1763063706437427237?t=WLhqwbI-hA0lTbEgr2eDsQ&s=19


Soccer ni investment kama huweki pesa KAZI ni kuweka maneno Tu na sifa Tu hakuna kitu utafanya 😄😄😄😄 kila siku utasingizia FIFA ban
 
We uko sawa kweli?
What sport us that categorized as? Sasa utaleta any random event hata muhindi wa Azam😂😂
Hata Kama hamna any world stage excellence kwa sport manze AGT is stretching it a bit
American got talent ni ndogo au sio??🤣🤣
Kama rahisi peleka makende yako tuone
Watu wanaingiza pesa nyinyi munaingiza maneno na sifa

Vijawa wawili Tu wameingiza 250,000 USD American got talent ni pesa nyingi Sana Sana alaf mukijua kuoneshwa majumba ya kifakhari na magari ya kifakhari yakimilikiwa na vijana wadogo munashtuka
 
Back
Top Bottom