Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na sio hukuweza kupiga picha sema unaona aibu kupost maana zitakuumbua we post Tu Acha uoga jinga hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww mwenyewe ulivofika ulijua ni Dubai sio dar
Nakumbuka alikua amepania ku expose DAR humu ndani lakini ghafla baada ya yeye kufika DAR niliona ameishia kupost picha zisizofika kumi, akaishia kuisifia Osterbey akanyamaza
 
Nakumbuka alikua amepania ku expose DAR humu ndani lakini ghafla baada ya yeye kufika DAR niliona ameishia kupost picha zisizofika kumi, akaishia kuisifia Osterbey akanyamaza
Na kwenda kuwasimulia wenzie kua kama munadhani dunia nzima inaslum basi ni Kenya pekee ndio utakuta nyumba ambazo hata nguruwe hawez kuishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
In Bongoslum, only the government can build such. Yaani nchi haina private sector kabisa kudadeki. Vitu kama hivi wanangoja kujengewa na CCM.


View: https://www.instagram.com/p/C4Pu974I-mH/

Wewe ni mjinga sana. Private sector ni kikundi cha wafanya biashara na are driven by exorbitant profit hivyo kikundi hiki hakina tofauti na parasite, wana flourish sehemu pekee zilizo na policies zinazo ruhusu kufanya unyonyaji wa kutisha. Hizi makitu unatuoneshea ni apartments za ulanguzi jambo linalopeleka nchi nyingi walipo hao jamaa swala la rent ni pasua kichwa mno.
 
Na sio hukuweza kupiga picha sema unaona aibu kupost maana zitakuumbua we post Tu Acha uoga jinga hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww mwenyewe ulivofika ulijua ni Dubai sio dar
Buda, acha ushamba, and just to satisfy your ego, this is me at DXB Dubai so yea I Know the difference
IMG20221220231115_Original.jpeg
IMG_9814.jpeg
 
Guys have you noticed that all pictures of JNIA are almost the same? No matter who posts it’s always the same. Well it’s because the airport is actually way smaller
I don’t usually take pictures a lot when I travel, I wish I could’ve taken more to prove the point but basically my view was just at this location you posted. Huwezi potea, bro i have used JKIA dozens of times and i sometimes still find myself lost somehow
Compare my video with those pictures za terminal
View attachment 2928665
View attachment 2928667
Picha zote hizo nimepiga maeneo mawili tu ya terminal. Nje ya Jengo na Baggage reclaim area na unataka upotee maeneo hayo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Buda, acha ushamba, and just to satisfy your ego, this is me at DXB Dubai so yea I Know the difference View attachment 2928698View attachment 2928697
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Sijaona tofaut yoyote mpaka SASA hviπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kuangalia angalia madude ya Kundustan yanaharibu sana afya ya Ubongo. Imagine nimeingia Modern Airport hapa EA nikaanza kuathiriwa na yale madude ya Kundustan wanakinga maji kwenye ndoo za kudekiaπŸ˜‚

The best 007 Nilipita maeneo yako Boss.



View attachment 2928254View attachment 2928254View attachment 2928255View attachment 2928256View attachment 2928257View attachment 2928258View attachment 2928258View attachment 2928259View attachment 2928262View attachment 2928261View attachment 2928260
 
Back
Top Bottom