Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,875
Ichoboy mimi bado sikuelewi hapo kwa Britam. unajaribu kusema kwamba hiyo kampuni inamilikiwa na watanzania ama ni nini point yako exactly? usiseme tena eti umeleta link coz hiyo link nishaisoma tiyari. hebu niambie unachomaanisha. Lakini kama hauna la msingi ya kusema ni heri tu unyamaze
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam