Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,134
- 17,871
Wewe fatilia thread ujue ni nini kinazungumziwa badala ya kudandia gari katikakati ya safari. I was NOT trying to prove that Kenya's state house is among the best. uliza ichoboy atakuelekezaSasa kama kweli nyie mnajua kuchagua rangi mbona ya kwenu imekosa kwenye hiyo list au nyie hamna ikulu