buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Na nina uhakika average Tanzania anaweza kuaccess nyumba hizo, hata mkulima wa mashambani huko, ila nyumba zenu unazotuwekea hakuna mkenya average ana afford, mnasubiri.kujengewa apartment na wageni, au apartment yenye ubahili wa madirisha.Not just KANAIRO. We all find your designs tasteless, he just gave us a catchy term to describe them.
Na narudia tena, angalia unachopost how the hell unaweka nyumba za well off wa Kenya vs Average Tanzania na unajisifia bila Aibu.