Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
UNA UTINDI WA UBONGO.Pole sana Kwa hiyo pale ferry Dar wanapovuka watu Kwa panton hawafanyi hand to mouth au ni wachache kushinda wa hapo?
Watu ambao hamjasoma uchumi Huwa mna matatizo ya ulinganifu wa kiuchumi na ndio mnatusababishia mabilioni yanapotea Kwa sababu za Miradi ya kupigia picha.
Mara nyingi watu wenye akili ndogo Huwa wanapenda vitu vya aina hiyo ,huwezi Kuta wanashughulika na mambo ya Kuinua Hali za maisha ya watu.Mnapenda vitu cheap cheap kupigia picha.
You were asking about the same thing, ok show me electrified SGR, show me cable stayed bridge, show me BRT, show me big hydropower plant like jnhpp, show me new organized city like dodoma, show me big water project like victoria water project, show me industrial park like Sinotan industrial park, fool.i was asking the same thing.....
Kaka huyu jamaa ana shida sana kifikra.Kama hutaki SGR kwann hua unapost hapa na unapost ili iweje ?? 🤣🤣🤣 Unaeza post kitu hukipendi??? Na kama JPM bridge hutaki kwann pia hua unapost?? Ww unavituko Sana
Alaf suala la kukatika kwa umeme naomba nikuulize swali Kwann makamba alitolewa kwenye wizara hii kuna shida gani?? Na kwann alitolewa baada ya malalamiko mwingi ya kukatika kwa umeme?? Ajili kichwani😃😃😃😃
Eti ujue kutafuta pesa naenda kasome debt to GDP ratio SASA hvi Tanzania kama hukuzimia😃😃 unafkiri kutafuta pesa mchezo au sio sukari inauzwa kilo 5000 na nchi iko kimya na hakuna anaehoji wala kujibu
lol...watu wamedhoofika sana hapo dodoma the pet projects notwithstanding
Duh! Mkenya ni mtu wa wivu asee, mpaka account ya shirika lenyewe wamesema, na huko Senegal kuna wamasai?Hivi Arusha kuna desert? Stop being foolish. This is Senegal you idiot.
Your crib ya mabati? Behave kijanaThat’s not even half of my crib… Utaona… hii iko na gym?, iko na pool au Jacuzzi, iko na movie theater?…. Be serious!
wanatapatapa tu na some funny housesYaani nyumba ya diamond imejaa cabro za petrol station all over!!!!
Jamaa uwa ni jinga mnoWakundustan ni washamba hawajui negotiations ni kama walughalugha kutoka bush wanavyopigwa za uso wakijichanganya mjini 😂😂
Wakiona hii kesho wanaingia barabarani sababu Tanzania ndio marking scheme yao 😁
Dar new oil facility
Cost $270 million
Capacity 420,000 metric tones
Kipevu oil facility
Cost $385 million
Capacity 100,000 metric tones
?Watakuambia Kariakoo is the busiest District in East Africa. Hii Kariakoo haigusi River Road hada chembe. 🤣 🤣
View attachment 2919420View attachment 2919429
Wajinga mno ndio points walizo karirishwa na babu zaoWatakuambia story za "land compensation" 😂😂😂
Wapi nimepost pengine ww mbuzi?umeipost mara elfu tatu....that's for the jua kali shot though son.lol
Wait kwamba Daraja la Kigogo busisi kwako halifai WTF?Sitaki Sgr Hadi keshokutwa na sitaki daraja la Magufuli Hadi kaburini ni maamuzi ya kienyeji yasiyo na Tija.
My problem with Bwawa ni kwamba unaanza kujengwa bwawa la Kuchukua miaka Ili likamilike then hapo katikati huandai vyanzo vya mda mfupi vya kuja kukabiliana na demand inayoongezeka unapojemga bwawa then mtu anakuja kusema Samia amesababisha umeme kukatika,ujinga.
Nachoamini big projects hazihitaji rash maana Huwa Zina athari kubwa Kwa sekta zingine.magufuli alisimamisha Kila kitu anasingizia kujenga bwawa sijui Sgr na blaa blaa kama hizo.
Kama unataka kufanya hayo uwe unajua kutafuta pesa kama Samia Ili sekta zingine zisiparalse.Umewahi sikia Samia anatoa visingizio au Kuna sekta imekwama awamu hii?
hajafikia kariakoo huyu naona akifika siku za sikukuu itabidi truweke matangazo ya kumtafutaWe jamaa unaugua akili.
Nikuoneshe ubize wa kariakoo??
Hapo kweupe kabisa kama Magomeni ufananishe na Kariakoo?View attachment 2919516
Ama ubize upi unauzungumzia wewe?
Yes we have SGR, we have bridges and for BRT (public transport)we have commuter rail network. So everything you are yapping about are in Kenya.Do you have electrified SGR? Do you have cable stayed bridge? Do you have brt? Just to mention the few.