Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
Picha moja imemaliza kila kitu au nasema uongo 😂😂😂😂😂😂
 
Hii discussion imefanyika humu mara nyingi Sana. Hawa jamaa na kushobokea wachina hawajambo. Inaashiria uelewa Mdogo wa miji architecture na livability. Yani wao wakiona tu modern skyscrapers basi hiyo ndio kila kitu. Utasumbuka Sana. Huyo unayebishana naye ni mtoto asiyepita miaka 24, we can forgive him for that until he gets enough exposure.
How can someone in their right mind compare a city like Paris established in the 250 BC with a city which took off in 1990s alafu wana catch feelings 😂😂
 
Today on Kenyan architecture vs Vitenge architecture we are doing bungalows.
This is Kenya's old school bungalow btw. The design was popular in the 90s.
1hdsvhvdshvdfjvkgjbmgf-min.webp


Alafu kuna kitenge 🤣 🤣
f358f4061eebde895e384d389aa987c1b41ac034.jpeg
Kuna kitu hapo nikwambie, hiyo ya juu hapo kenya inamilikiwa na watu wenye share ya keki ya taifa.

Hapo chini ya Tz, inamilikiwa na mtu wa kawaida na imejengwa na mafundi hata hawajaingia darasani.
 
Back
Top Bottom