Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now kila kitu ni kuingiza siasa na uchawa badala ya utendaji
Mambo waliyofeli serikali awamu ya 6.
-Eletric train zitaanza january wamevusha mpaka june.
-Umeme mgao mwisho february 16 mpaka sasa unakatika wamekata mara nne leo tu na kurudisha.
Mengine kaka utajazilia.
 
TAZARA Improvement

-China kumwaga Trilioni 2.5
-WB kumwaga Sh.Bln 675

View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1760924718255747546?t=661EA0QXuWg4wdkHFdCbWw&s=19

My Take: Ngoja tusubirie hiyo Tazara Mpya kama itapunguza Malori Barabarani na kuongeza matumizi ya reli ya Tazara kama zamani.

Investment kubwa hivi kurahisisha usafiri wa bidhaa nchini Zambia, Malawi, Zimbabwe na DRC bado Uganda oil deal kupitishia mafuta yao yote through Dar port lakini wakundustan watasema wao ndio regional logistics hub na regional powerhouse 😂😂
 
Nikionaga post za ki ndezi kama hizi ni obvious zinatokaga kwako.(brainless dude)
Viongozi kama hawa kina mbawara ni wastage of time . Hawajui hata wafocus wapi. Karne ya 21 wanafanya hafla za ujenzi wa visima vya kuhifadhi imported fossils from opec. angalau muda huu tulitegemea tuone more focus kwenye Natural gas au tuone vikao vingi na UG kuona namna ya ku-refine mafuta ghafi ya Uganda. Halafu Sio kweli kwamba Tanzania hakuna mafuta ghafi.
 
Pale punguani mmja anapojifanya Yuko focused 😁😁😁😁

Miundombinu ya kuhifadhi Mafuta sio tuu ni Kwa Ajili ya strategic reserves ya Nchi Bali ni pamoja na kuifanya Tanzania kuwa hub ya Mafuta Kwa majirani hasa wa SADC.

Hivi karibuni Tanzania na Zambia wamekubaliana kujenga bomba jingine la kusafirisha Mafuta pamoja na Bomba la gas.
Screenshot_20240225-205626.jpg

So Mbarawa anaenda kuweka Jiwe la msingi la jambo la maana kabisa ,hatutarajii kurudi kule kwenye shida ya Mafuta kama mwaka Jana.Tukiwa na uwezo wa kuhifadhi Mafuta walau Kwa mwaka 1 itakuwa ni hatua kubwa.

Mengine ni pumba zako tuu hazina maana.
Screenshot_20240225-210133.jpg
 
Nonsense mshashindwa kazi, siasa nyingi kwenye mambo muhimu, naanza kufikiria kua hawa investors walikua kwa plan ya uncle ya Tanzania ya viwanda, walipoona strategic ya SGR, BWAWA, BANDARI UKARABATI, electric stability NK, unadhani kuna investors ataleta kiwanda hapa akisoma habari za migao migao?
Itoshe kusema wewe ni punguani maana siwezi jadiliana mambo ya msingi na mtu ambae hana akili na Yuko biased.

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1757678832281121190?t=lO4X3IfFYqHnaw2TCij_ig&s=19

View: https://youtu.be/3Z6buQ8YNkY?si=FhVJllgNVcOFcHM9
 
Pale punguani mmja anapojifanya Yuko focused 😁😁😁😁

Miundombinu ya kuhifadhi Mafuta sio tuu ni Kwa Ajili ya strategic reserves ya Nchi Bali ni pamoja na kuifanya Tanzania kuwa hub ya Mafuta Kwa majirani hasa wa SADC.

Hivi karibuni Tanzania na Zambia wamekubaliana kujenga bomba jingine la kusafirisha Mafuta pamoja na Bomba la gas.
View attachment 2916226

So Mbarawa anaenda kuweka Jiwe la msingi la jambo la maana kabisa ,hatutarajii kurudi kule kwenye shida ya Mafuta kama mwaka Jana.Tukiwa na uwezo wa kuhifadhi Mafuta walau Kwa mwaka 1 itakuwa ni hatua kubwa.

Mengine ni pumba zako tuu hazina maana.
View attachment 2916235
A reason I said huna akili. unafikiria Habari za Hub yet nchi haina hata stock ya mwezi mmoja. Anyway wewe sio kosa lako. You are just a supermarket casual worker. Hopeless. Shida ni hawa viongozi wetu with average IQ , wanaoamini watu wa nchi nyingine ndio wataijenga nchi yetu. Na wewe pia unaamini hivyo. Small minded dude.
 
Ndio maana nakwambia wewe ni nyumbu ,hiyo miundombinu Serikali inajenga Ili itunze nini sasa kama unajua Hatuwezi hata kutunza Kwa mwezi 1?

Wewe ambae ni stateman worker una lipi la maana zaidi ya kulalamika kama mjane? 😂😂

Fool and arrogant pumpkin head
 
Back
Top Bottom