Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dude puts Kuala lumpur ahead of Paris 😂😂
Bado upo na Colonial mind mzee Kuala Lumpur unaichukilia poa siyo 🤣 🤣 🤣

1708859977427.png
 
Ushamba tu, have you seen tycoons boasting about visiting chengdu or visiting the city of Monaco? 😂😂😂
View attachment 2915903
My brother shida wewe una upepo wa kupenda vya wazungu, heb twende kwa data sasa uone hiyo ni takataka mbele ya Chengdu 🤣🤣🤣 Chengdu inapokea foreign visitors wengi kuliko major East Africa countries (TZ, KE, UG) combined 👇 total visitors ndio Africa nzima tukijiunga bado hatuipiti Chengdu pekee 👇
Screenshot_20240225-144743_1.jpg
and it's ranked the 59th in the world 👇
Screenshot_20240225-144908_1.jpg
hii "Chengdu Sichuan, China - Far and Away Adventures" Chengdu Sichuan, China - Far and Away Adventures. Watu wanakuja kushangaa tu Blue buildings 👇
sybarite-skp-shopping-centre-chengdu-china_dezeen_2364_col_2(0).jpg
. While Monaco in the other hand 👇
Screenshot_20240225-145024_1.jpg
ni ya 93rd duniani, watu hawatembelei tena hizi old cities, they are less impressive. Sikuhizi blue structure ndio habari ya Dunia.
 
Kama Paris mwanangu au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mji umezungukwa na ma slums everywhere na bado unatafuta vipicha vya kujiliwaza, mji una ma slums kuliko makoko ya Nigeria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kenya ni Mavi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom