Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mshamba hadi unatunza receipt za KFC ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ no wonder haujawahi kuona TV showcase
Hizo receipts nilikutunzia juu ulisema sijaikula KFC. Na wewe unajua hata KFC kanafana aje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Kesho tena ntakula in another multinational food joint na nikuonyeshe receipts ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

Actually wewe pia unafaa uanze kutunza zile zako za vibanda, ooh sorry. Kuna receipts kwa kibanda kweli?
 
Huyu ametokea maisha magumu sana, wa kumlaumu ni babaake wala hata sio yeye kwahyo tusimlaumu, kwasababu ilibidi awe amezoea hivyo vitu tangu akiwa mtoto, lakini wonderful enough amevijua ukubwani na ndio haya wanasema "masikini akipata matako hulia mbwata" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ataanza kuvizoea hivyo vitu na atajirekebisha
Maskini ni huyu hapa

I think kukunywa soda is always shida kwako and anytime umepata lazima upige selfie nayo.

To make it worse ni kibanda๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
meddy_clever_c351852b43c94cddb492fd6491bbe178.jpg
 
Hizo receipts nilikutunzia juu ulisema sijaikula KFC. Na wewe unajua hata KFC kanafana aje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Kesho tena ntakula in another multinational food joint na nikuonyeshe receipts ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

Actually wewe pia unafaa uanze kutunza zile zako za vibanda, ooh sorry. Kuna receipts kwa kibanda kweli?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Aisee sawa, keep on entertaining us, comedian
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Aisee sawa, keep on entertaining us, comedian
I know hujaiona hata KFC kwa macho Yako. Wewe umezoea kukula low quality rice kwa kibanda, soda unakunywa Miranda ya 20 bob.

My lunch bill for one day can sustain you mwezi mzima๐Ÿ˜‚
 
I know hujaiona hata KFC kwa macho Yako. Wewe umezoea kukula low quality rice kwa kibanda, soda unakunywa Miranda ya 20 bob.

My lunch bill for one day can sustain you mwezi mzima๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Haya
 
Nimeacha kuwaroast Sasa, I know these poor Tanzanians have no peace here.

Mambo ya KFC, Netflix, Bolt, Uber, Bolt na Pizza Inn nimeeacha. Staki nirogwe.
 
Watu hawakuangi na masomo, wata wanakuaga na elimu ambayo wewe ndio huna ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na kukosa kwako elimu ndio kunafanya uwe hujui hata TV showcase ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hata sijui mbona I'm wasting my time with someone who uses snapshots to edit a 24" Itel TV.
 
TV stand ya nn na wakat TV iko juu ya Meza ya TV? Na inaonesha ulikuja mjini na mbio za mwenge ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hata mm ningekua na showcase ningeweka juu yake, mjaluo jinga kweli wewe
Huyo mnuka mavi ni fukara kweli kweli, kuna mambo huwa anazungumza wallahi hata NairobiWalker a.k.a KiberaWalker anajua kabisa jamaa ni mshamba.
 
Hizo receipts nilikutunzia juu ulisema sijaikula KFC. Na wewe unajua hata KFC kanafana aje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Kesho tena ntakula in another multinational food joint na nikuonyeshe receipts ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

Actually wewe pia unafaa uanze kutunza zile zako za vibanda, ooh sorry. Kuna receipts kwa kibanda kweli?
Kwahiyo kula KFC ndio deal ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Wewe bado sana.
 
Back
Top Bottom