ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Wacha nisipingane nawewe. Tupostie bungalow ya Bongo yenye inamilikiwa na watu wenye share ya Keki ya Taifa tuione basi.Kuna kitu hapo nikwambie, hiyo ya juu hapo kenya inamilikiwa na watu wenye share ya keki ya taifa.
Hapo chini ya Tz, inamilikiwa na mtu wa kawaida na imejengwa na mafundi hata hawajaingia darasani.
Hiyo unaizungumziaje brothee?Wacha nisipingane nawewe. Tupostie bungalow ya Bongo yenye inamilikiwa na watu wenye share ya Keli ya Taifa tuione basi.
Hivi unajua bungalow ni nini?Hiyo unaizungumziaje brothee?
Wafuasi wa mama kizimkazi wanashangaza!!?Kwanza shukuru Mzee magufuli kwa hii kitu we chawa.
Mzee alifanya maamuzi magumu, bila kujali kelele za mazingira na kelele za wazungu mpaka funds akakosa akachukua funds za Ndani trillion 6, kuweka hapo.
Alipokufa mkataka kuja kulihujumu mara crane, mara legacy, ila leo ndilo mnalitumia kupata pa kutokea.
Wakati even before this Magufuli aliyatumia vizuri mabwawa yaliyopo.
Vipi siku hizi Kinyerezi na ubungo zinaoperate?
Nambie ni nini?Hivi unajua bungalow ni nini?
Iamlee …sorry nilichanganyikiwa … I didn’t realize you are on my side…. My apologies… it’s erased…How can someone in their right mind compare a city like Paris established in the 250 BC with a city which took off in 1990s alafu wana catch feelings 😂😂
Kwanza shukuru Mzee magufuli kwa hii kitu we chawa.
Mzee alifanya maamuzi magumu, bila kujali kelele za mazingira na kelele za wazungu mpaka funds akakosa akachukua funds za Ndani trillion 6, kuweka hapo.
Alipokufa mkataka kuja kulihujumu mara crane, mara legacy, ila leo ndilo mnalitumia kupata pa kutokea.
Wakati even before this Magufuli aliyatumia vizuri mabwawa yaliyopo.
Vipi siku hizi Kinyerezi na ubungo zinaoperate?
Swala mgao Kwa heri 👇
View: https://www.instagram.com/p/C3x82Tzi4Nd/?igsh=OW9iY2VsdmN5NTg3
View: https://youtu.be/pZA9A0WWTcA?si=mrIX4v1ILea2kwjt
A single story residential house.Nambie ni nini?
Huwenda nachanganya.
Alafu walivyowajinga wanataka kuidumaza.Wafuasi wa mama kizimkazi wanashangaza!!?
Baniani mbaya(Marehemu Magufuli) kiatu chake dawa(miradi aliyoianzisha na kuiacha).
Shenzi sana hawa watu.
Ooh okay ngoja nitaleta photo zake.A single story residential house.