Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just mention the name of those Kenyans coming to Tanzania for treatment cause for me I can mention 1,000 Tanzanians coming to Kenya for treatment.


View: https://twitter.com/Asmali77/status/920658706852995073?s=19

Tundu Lissu to be treated in Kenya IS POLITICAL MOTIVATED.
HE HIMSELF CLAIMED THAT IT WAS DANGEROUS FOR HIM TO BE TREATED IN TANZANIA DUE TO THE GUNMEN ATTACK HE FACED,but is not that we failed to treat him he choosed to be treated in Kenya for his life sake.
I guess you did not know this.
I am failing on sharing the link about the children and adults who received cardiac treatment from Kenya in JKCI.
Go in youtube you will get them.
 
Teargas 😅😅😅😅
Screenshots_2024-02-24-21-47-44.png
Screenshots_2024-02-25-00-04-58.png
 
Ulitaka kukasirisha mtanzania mwambie mambo WiFi, Netflix, KFC, JAVA, Pizza Inn, Bolt, Uber, Glovo and other multinational brands.

Hapo lazima mkosane.
Eti WiFi ww kweli ni chizi wa kwenda 😂😂😂

Hujui mpaka kampuni za simu zina WiFi majumbani tena kampuni kama TTCL,halotel etc 😃😃😃😃😃

Mm natumia go fiber 👇👇👇 ww unatumia nn
20240225_002026_HDR.jpg
 
Kuna vitu vingine wanguwa wananyamaza, huku ni kujitia aibu Tu, Yani mwezi mzima tani 380 tu!! Hawaoni aibu kuweka hapa hizo takwimu?? Yani katika siku 30 ndege inajaza kwa wastani wa siku 7 Tu! Sasa ndo nini!?

ATCL wawe serious kwa kweli!!!
Mzee tani 380 unazijua wewe? Ndege ni moja tu.
Kumbuka ndege inatakiwa:-
1. Mzigo upatikane na kukusanywa
2. Kusafiri mpka destination
3. Kurudi Dar

Let say kila wiki unapata trip 3
Maana yake kwa mwezi ni wastani wa Tone 32 kwa trip.

Mzee unabeza hicho kitu!!! Ukitaka kuelewa fanya kwa kutumia math
 
Tunaendelea tulipoishia daily dose😁
Unalinganisha notice ya maintenance na mgao? Kichwa Chako kizuri? This is actually a testament of a working system, Sio hapo kwenu kila siku blackout alafu ni ya kushtukia.
 
Eti WiFi ww kweli ni chizi wa kwenda 😂😂😂

Hujui mpaka kampuni za simu zina WiFi majumbani tena kampuni kama TTCL,halotel etc 😃😃😃😃😃

Mm natumia go fiber 👇👇👇 ww unatumia nn
View attachment 2915318
Ukiona kitu kinatajwa tajwa sana ujue ndio kwanza kakijua au kakiona 😂 , Getho likose kweli hivi vitu basic😂




IMG_4614.jpeg
 
NairobiWalker ulisema mtanzania akikuuita mshamba basi yeye ndio mshamba kuliko wote?😂😂😂.

Nimetoa NDINDA Shimoni hadi akapost ka 40" chake hapa na jamaa ameiweka kwa meza. Tofauti na Meza hiyo TV enyewe imewekwa kwa corridor so nashangaa kwani jamaa anaishi kwa choo ama vipi?
Screenshot_20240225-084205.png



Ukaiangalia walls zimechapa kweli kweli sijui ilipakwa rangi ya mwisho lini?😂😂. Pia ukaiangalia hiyo cable ya white, inaanza kugeuka black meaning jamaa ni mchafu hatari.
Screenshot_20240225-084145.png
Screenshot_20240225-084056.png


As for the screen and what's on it, I don't want to talk about it cause watu watakasirika hapa😂😂.
 
Back
Top Bottom