Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kati ya Sisi na nyinyi Nani mwenye mafanikio 😅
Sisi tumeingiza team mbili makundi CAF champion nyinyi munaingiza nn zaidi ya kutiana mimba Tu
Mnapigwa huko kila siku yet unapiga kelele. Tag me the day any Tanzanian team will lift any African tournament trophy.
 
Binti
Nyara
The Envelope
Fatuma
The gift
You are allowed kubadilisha magoli.
As usual Tanzania is always behind Kenya in everything. I thought ungehesabu hata 10 movies on Netflix kumbe ni tano tu?😂😂😂😂
 
Add; lack of exposure.
Huyo ndio ameyajua maisha juzi kati. Bado ni kijana mdogo wala msiumize akili. As long as tunaweka taarifa zetu humu. Utoto bado unamsumbua

🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
1708410304070.png
 
You don't get it, do you? We are not celebrating Kenyan movies on Netflix cause they countless there. Tanzania only had one movie on Netflix of which ilitolewa after two months because it was underwhelming.

What we are celebrating here is the fact that Kenyan series is the most popular series on Netflix right now. Tanzanian movie haitawahi fika hizo levels.

Kenyan Movies on Netflix
View attachment 2914545View attachment 2914546View attachment 2914547View attachment 2914548


But if you search for Tanzanian movies hutapata kitu except for Binti. They are only repeating Kenyan movies on Netflix. Infact Netflix will underline the word Tanzanian with a red line meaning it's a strange word to them
View attachment 2914549

Wewe kibonge mwenye shobo siku mnapata filamu itakayo chukua awards hapo Netflix kama ya Bongo si utapanda juu ya paa kabisa?

Tanzania iliingiza movie Netflix kabla ya kenya.. Hapo kwenu imekuja baada ya kuonekana mko nyuma sana.. Na ndio maana Netflix kwenu huko wamewapatia huduma ya bure
 
Back
Top Bottom