Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kuwa na remote haimanishi uko na Netflix ama DSTV. Maybe wewe ni fundi wa remote na uliletewa uzitengeneze😂😂😂Kwenye kulea watoto tuhakikishe wanapata exposure ya kutosha, ili asije kupaparika na vitu vya kawaida akiwa mkubwa maana ni aibu. 😂😂😂
View attachment 2915080