Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My daily dose of Kenyan architecture vs Vitenge mansions
229801_dalali-mbezi-beach-godfrey1-20200506-143742-3_7_620x465.webp

magnolia-house-12_zana-international-07.jpg
 
Now go ahead and show us rural China and rural United States. You see a video of one American in China saying China is better than the USA and now China becomes better than the United States? How many Chinese are immigrating to the United States, saying the United States is better than China? And also anyone could just say anything. This video for instance.


View: https://youtu.be/Q60iyRA_7aI

Wazungu ni wazee wa propaganda tu ukifuatilia taarifa za BBC na CNN unaeza ukajua uchumi wa China ulishashakufa 20 years ago, turudi kwenye point, ni ukweli kwamba hapo awali hali ilikua mbaya kwa wachina lakini si kwasasa, mfano hii hapa ni "Chinese poverty eradication program" ambapo matokeo ya mradi ni kama ifuatavyo 👇
07032021-CHINA-POPULATION-IN-RURAL-POVERTY.jpg
hii ni hali halisi kwa ground 👇
6280d69e-53cc-40e9-b07e-ac615176aa93.jpg
4298751631460264836.jpg
5de876bfc6d0bcf8858995ad.jpeg
5bb0816da310eff368ff618c.jpeg
137536674_15396889166441n.jpg
relocation_village_yangtze_river.jpg
FOREIGN202006230952000016756729010.jpg
chinaag.jpg
mind you huku ni vijijini kabisa kule ambako wanalima na wamefanikiwa kuwaweka watu kwenye mazingira mazuri, wazungu hawawezi kukuonyesha hizi abadan. Na hizi ndio ambazo wakina Jason wanaionyesha dunia, halafu tunadanganywa kwamba hawa wanaweza kutoka hapa kwenda kuwa homeless marekani?
 
Simba na yanga zinacheza CAF champion, Taifa stars imecheza AFCON, nyinyi munacheza nini??😅😅😅😅😅
I better remain at home than to beaten like a thief in those competions. Wewe huoni aibu mnapigwapigwa tu kama gunia in every competition Tanzanian teams participate in?
 
Si ndio maana nilimuuliza yule kondoo ananionesha agakhan nikamwambia hio ni hospital anatibiwa governor nyongo 😅😅😅
Most Kenyans get treated in Private hospitals huku watu sio maskini like Tanzania that wait for government services everytime. Last time I got sick I went to Avenue Hospital which is one of the biggest and expensive private hospitals in Kenya, before that I was treated at Agha Khan.
 
These 7 buildings are the only things going on in tz......In Kenya we have thousands and thousands going on upto lodwar town lakini mehemehe hakuna....this village you call dodoma that you are desperately trying to upgrade is still underwhelming for a capital city. Is there a dual carriage way in that town or village or whatever
Ila wakuu mkiniona kimya mnadhani nimekimbia battle, sasa unataka ubongo wangu uharibike kubishana na watu kama hawa?

Kuna mwingine anasema hatujui skating na akaweka picha vest iko nje ya Tshirt.
 
Hata Tanzania ilivyoingiza movie Netflix kulikuwa excitement kama hivi... Ila ni vitu tumeshazoea.. Na nyinyi mtazoea tu jirani.
You don't get it, do you? We are not celebrating Kenyan movies on Netflix cause they countless there. Tanzania only had one movie on Netflix of which ilitolewa after two months because it was underwhelming.

What we are celebrating here is the fact that Kenyan series is the most popular series on Netflix right now. Tanzanian movie haitawahi fika hizo levels.

Kenyan Movies on Netflix
IMG_20240224_104223_959.jpg
IMG_20240224_104249_300.jpg
IMG_20240224_104309_447.jpg
IMG_20240224_104331_356.jpg



But if you search for Tanzanian movies hutapata kitu except for Binti. They are only repeating Kenyan movies on Netflix. Infact Netflix will underline the word Tanzanian with a red line meaning it's a strange word to them
IMG_20240224_104605_909.jpg
 
Show me statistics that say the poverty rates in America is caused by American Nationals. And also don't forget to mention the 800 million Chinese living in poverty in rural China.
😳😳😳😳 Itabidi niwe nasoma kimya kimya kwa afya ya akili yangu. Mkenya kwa kuropoka ujinga hajambo.

Kuna mwingine anapost nyumba za kudonoa donoa anaita Kenya Architecture, wakati kwa ground hadi madirisha yanakosekana.
 
I better remain at home than to beaten like a thief in those competions. Wewe huoni aibu mnapigwapigwa tu kama gunia in every competition Tanzanian teams participate in?
Kati ya Sisi na nyinyi Nani mwenye mafanikio 😅
Sisi tumeingiza team mbili makundi CAF champion nyinyi munaingiza nn zaidi ya kutiana mimba Tu
 
Back
Top Bottom