President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,037
- 93,392
Nilikuwa nakuona kuwa upo na exposure kumbe na wewe ndio wale wale tu. Yaani miaka hii unaongelea smart tv hapa TZ. Kijana kama huko kenya smart tv ni kitu cha kustua, hapa tz ni kitu cha kawaida sana.Yani hata itel TV ya 24k lazima aibe picha aedit.🤣🤣
Mpaka watengezaji wa tv wapo kwenye team za mpira bongo.