Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Yep jamaa ako na utoto mwingi sana 😂😂😂Naamini ukikua utaacha.
Yep jamaa ako na utoto mwingi sana 😂😂😂Naamini ukikua utaacha.
I'm just porking some holes kwa wale wenzako huwa wanajifanya hapa that they are 100% perfect though in real life hakuna tofauti kati yao na wale wakazi wa Kibera.Naamini ukikua utaacha.
Hadi wenye hawana kitu wanaongea?Yep jamaa ako na utoto mwingi sana 😂😂😂
Whatever the intention, you're still barking up the wrong tree.I'm just porking some holes kwa wale wenzako huwa wanajifanya hapa that they are 100% perfect though in real life hakuna tofauti kati yao na wale wakazi wa Kibera.
You are one of the few Tanzanians I respect here. You, tuusan na Kuna jamaa mwingine I think anaitwa RRONDO .Whatever the intention, you're still barking up the wrong tree.
Ushamba sio?Wewe bro si ununue TV stand baadala ya kuweka TV kwa meza. You can even mount it on the wall kama huna TV Stand.
Lakini is Meza is a big NO. Ama Tanzania kila mtu ni mshamba?
Wewe umechanuka kidogo. Sasa ambia mwenzako mambo ya kuweka TV kwa meza aachane nayo😂😂
Leo umenisifia. Maajabu!Wewe umechanuka kidogo. Sasa ambia mwenzako mambo ya kuweka TV kwa meza aachane nayo😂😂
I appreciate whatever is good. Mimi sio shetani yenye ntakashifu kila kitu.
Mimi sio mshabiki wa Yanga au Simba ila napenda kuona Timu zetu zinawasulubu wageni na Huwa naangalia mechi za Nje tuu ila kwenye Ligi yenu Huwa Sina Mpango nayo labda timu za Mbeya maana Mimi ni mzalendo wa Mkoa wangu.Sisi huku nyumbani karibu nyumbani mtani 😁
TV stand ya nn na wakat TV iko juu ya Meza ya TV? Na inaonesha ulikuja mjini na mbio za mwenge 😂😂😂😂😂😂😂Wewe bro si ununue TV stand baadala ya kuweka TV kwa meza. You can even mount it on the wall kama huna TV Stand.
Lakini Meza is a big NO. Ama Tanzania kila mtu ni mshamba?