Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hakuna huyo vitu anazungumzia ni propaganda tu za Mzungu, ingekua ni kweli kwamba china kuna umaskini kiasi cha raia kuikimbia nchi yao kama hivyo wazungu wanavyotaka kutuaminisha, ni dhahiri shahiri hiyo hali ingeanza kuonekana within china, mimi ni muumini wa kufuatilia content za YouTube na ndio huko nimejifunza mengi kuhusu china, there's no homeless people in china, Halaf china Iko na miji mingi mzuri, mikubwa kuliko US na miji mingi mipya inajengwa+ miji ya zamani inazidi kupanuka, (standards za miji ya china is far better kuliko miji yoyote kwenye huu uso wa dunia) kwahyo suala la makazi sio shida zao kabisa, villages za China ni better than top cities in Africa (huu ni ukweli). US ni taifa lililofeli kaka, wanajaribu kuiponda China ili waendelee kuwa relevant lakin sikuhiz dunia ni kama Kijiji huwezi danganya watu tena, YouTubers wengi mno wanasema hivyo, wasomi n.k huyu Jason ni Mzungu wa UK lakini mskilize hapa 👇For China been great is great but may be population is what hinders them .
View: https://youtu.be/dWryo4_IctU?si=8QSFpl1GcNMrh8eA. Kuna videos nyingi mno huko YouTube zikionyesha homeless people in the US go check them uone kama hao raia ni wachina, imagine mtu atoke kwao aje awe homeless kwako hii inaingia akilini kweli? 😂😂😂. I also want you to read this mwaiofhawaii