Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 756
- 2,097
Shida yako inaanzia hapa kwamba unadhani unaongea vitu vya rocket science hata nisikuelewe. Jinga sana😅Shida yenu kawaida huwa kiingereza. Nimeongelea mtaa wa Ridgeways kwa ujumla, Sio hizo nyumba. Khaa! Alafu unapata bado mnaharibu kusahihisha grammar ya mtu humu. You all need English classes for real.🚮🚮