Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mko na Gold lakini Tanzania still present among the top 25 poorest countries in the world.

Hiyo Gold plus other natural resources inawasaidia na nini?
Na hutoona mtanzania akipigwa mnada kama kabichi kwa bei chee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

20230824_070350.png
 
Oysterbay hii moja?
Hii hata Mombasa itastruggle kuwa best -Nyali na Kizingo zitaitoa kijasho mbaya sana. Ukiileta Nairobi top ten haigusi.
Alafu kamtaa kenyewe kadogo huwezi linganisha na rich neighborhoods in Kenya
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Kusema kweli only Oysterbay and Masaki would be considered wealthy neighborhoods in Nairobi but still won't make it to top ten. Halafu ukiziweka pamoja na Masaki hata hazifiki 15% ya Karen pekee.
Meanwhile kuna mitaa Nairobi yenye niko sure hata jina lake hujawai sikia yet hiyo O-bay bado haifikii. Mitaa kama
Ridgeways
Spring Valley
Muthangari
Kyuna
Lower Kabete
Nyari
Barton Estate n.k

Yani kwa mitaa ya kitajiri Nairobi iache bwana. Kuna nchi chache sana Afrika kusini mwa jangwa la Sahara zina miji yenye rich neighborhoods bora kuliko Nairobi. South Africa, Namibia na Mauritius - alafu Nigeria na Angola kidogo tunaweza pimana. Hizi zingine zote wachaneni na Nairobi kabisa. Tubishanie vitu zingine ila sio high-end neighborhoods.
Hii hapa ni nonsense, hakuna mtaa wowote wenye ume mention hapo ambao ni competitive to Oster bay so chill. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe mpumbavu NairobiWalker pesa yenu haina purchasing power au vitu zenu zinakua over priced while hizo vitu they're of the low quality and less impressive, let's go direct to the point, hizi nyumba za fumba uptown living for instance, zipo kando kando ya bahari, they also of 4BR, the roads in the neighborhood are in better condition than that of the muthaiga u mentioned, and mind you Zanzibar is the top beach destinations in Africa .but the price of the house is around $450k. Check hapa nyumba zenyewe ๐Ÿ‘‡View attachment 2908855View attachment 2908858View attachment 2908859look at houses broh.!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Let alone hizo sijui masaki na Oster bay mana huko utakimbi tu mzee baba..

I want to know from you, hii inakwambia nini.?
Ushatoka O-bay uko Zanzibar
Nikiuambia Kenya kuna Estates kali kushinda hii ushago utaona nakudanganya? ๐Ÿคฃ
 
Maybe unaongelea Karen binadamu kutoka Tanzania.
Atakuletea ile picha ya Dagoretti yenye wamezoea kushare humu. Yani Karen, the biggest neighborhood in E.A lakini lazima mtu atafute pembeni nje ya mtaa wenyewe ndio apate barabara ya vumbi. Meanwhile Masaki yenye ni mare 14 ndogo kiliko karen you can randomly zoom into it na utapatana na barabara ya vumbi. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
This is bullshit and unnecessary. ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
You compared buying in Kenya to building in Tanzania and that confirms you don't know what you are talking about. You should rather keep quite and learn than continue typing in capital letters. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Hujielewi umeenda shule kusomea ujinga.
Ila nakusihi soma kwa uelewa.
Au huwenda hata biashara ya nyumba itakukanganya .
 
It's still Mbezi and it's not tarmacked. Hata ukileta hizo sehemu zingine ni vivyo hivyo tu. Ridgeways huwezi pata barabara ziko untarmarced. Mbezi labda ilinganishwe na Rongai, Ridgeways haina level yake hapo Bongo.
Ujinga kweli mzigo.
Embu ngoja nikuache.
 
Mko na Gold lakini Tanzania still present among the top 25 poorest countries in the world.

Hiyo Gold plus other natural resources inawasaidia na nini?
Ila
-Hatufi njaa.
-Hatuandamani kisa bei ya unga wa ugali .
-Hatuandamani kisa maisha kupanda bei.
-Bei ya petroli haitushindi.
-Hatuishiwi na dawa hospitalini.
-Hatuishiwi na akiba ya kigeni.
Ukiweka vice versa hiyo ndio Kenya ilivyo .
Poorer man in Tz lives better than a standard man in Kunyaland.
 
Wacha nirudie nilichosema na ulichoelewa ndio uone ujinga wako.
Post yangu hii hapa, nikasema Ridgeways is a premium neighborhood and is better than anything in Dar. Kwa Kiswahili - Ridgeways ni mtaa wenye hadhi na ni bora kuliko wowote hapo Dar.


Hivi ndivyo ulivyoelewa. "Hizo nyumba ni bora kuliko zozote Dar"


Ndio nikakueleza una shida ya kuelewa Kiingereza maanake mimi nimeongelea mtaa, wewe unafananisha nyumba. Ungekua na akili ungekubali makosa yako mambo yaishe ila umeendelea kupingana na kujionea huruma kama yatima.

I hope kwa sasa utauona ujinga wako. ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
Hapa nikubali sikusoma vizuri ila kama ukiamini sielewi neno neighborhood ni sawa pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom