Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Ha ha ha; najua utasema ni typo.😂Sawa hawker. Who I'm I to dispute your opinion?
Ha ha ha; najua utasema ni typo.😂Sawa hawker. Who I'm I to dispute your opinion?
Hapa ni lower Kabete, nionyeshe sehemu kali kushinda hapa Oyster bay. 🤣🤣
![]()
![]()
![]()
View: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=Df6vSyCN5Uo
Hapa nikubali sikusoma vizuri ila kama ukiamini sielewi neno neighborhood ni sawa pia.Wacha nirudie nilichosema na ulichoelewa ndio uone ujinga wako.
Post yangu hii hapa, nikasema Ridgeways is a premium neighborhood and is better than anything in Dar. Kwa Kiswahili - Ridgeways ni mtaa wenye hadhi na ni bora kuliko wowote hapo Dar.
Hivi ndivyo ulivyoelewa. "Hizo nyumba ni bora kuliko zozote Dar"
Ndio nikakueleza una shida ya kuelewa Kiingereza maanake mimi nimeongelea mtaa, wewe unafananisha nyumba. Ungekua na akili ungekubali makosa yako mambo yaishe ila umeendelea kupingana na kujionea huruma kama yatima.
I hope kwa sasa utauona ujinga wako. 🚮 🚮
z🤣 🤣
Lilia serikali yako iweke mbezi lami, usinililie mimi.
Wakenya akili mzigo sana🤣 🤣
Lilia serikali yako iweke mbezi lami, usinililie mimi.
Mzee, huyo fala niachie me namuweza huyoNikuketee pic za Mbezi z
Wakenya akili mzigo sana
🤣🤣🤣🤣 Am just having funny bro.Mzee, huyo fala niachie me namuweza huyo
Mbona usipost hizo za Mikocheni tuzione?Nimekwambia hivi you can't stand a chance lil broh 😂😂😂 Mikocheni is far better than this vumbi estate. 😂😂😂 O bey haipo kulinganisha na takaka hizi mzee 🤣 🤣🤣
Ungekubali from mwanzo badala ya kunitusi tungekuwa tushafunga mjadala kitambo. Anyway, nimekuheshimu maanake naona kidogo uko na roho ya kukubali makosa unlike mwenzako Kosugi mwenye anaweza pingana for days akibadilisha magoli kisa hataki kukubali amekosea.Hapa nikubali sikusoma vizuri ila kama ukiamini sielewi neno neighborhood ni sawa pia.
Mjadala ni purchasing power ya currency ya Tanzania na Kunyaland, mkenya mwenzio anaeshi mpakani kafanya utafiti na kakuta namna pesa yenu ni takatakaElewa mjadala Kwanza, usiamke tu na stress ukikimbilia kubishana.
Barabara moja moja kwa mtaa wa kifahari ni aibu. Njoo Nairobi mitaa ya kifahari kupata barabara ya vumbi labda 1% na pia utapata ni barabara mpya ambayo bado haijafanyiwa planning.z
Wakenya akili mzigo sana
Mjadala ni purchasing power ya currency ya Tanzania na Kunyaland, mkenya mwenzio anaeshi mpakani kafanya utafiti na kakuta namna pesa yenu ni takataka
View: https://youtu.be/CNDdCgErP_k?si=iMXfTiCHrp8TRcAx
Anachokisema kina mantiki, relatively gharama za kujenga na kununua nyumba kenya ni kubwa kuliko Tz na sababu kubwa ni ardhi. Wachache wameishikilia.Barabara moja moja kwa mtaa wa kifahari ni aibu. Njoo Nairobi mitaa ya kifahari kupata barabara ya vumbi labda 1% na pia utapata ni barabara mpya ambayo bado haijafanyiwa planning.
Huyo jamaa hutaweza kumuelewa kattwun.Anachokisema kina mantiki, relatively gharama za kujenga na kununua nyumba kenya ni kubwa kuliko Tz na sababu kubwa ni ardhi. Wachache wameishikilia.
Kwa mtu kama wewe uliye mgumu kuelewa??Ungekubali from mwanzo badala ya kunitusi tungekuwa tushafunga mjadala kitambo. Anyway, nimekuheshimu maanake naona kidogo uko na roho ya kukubali makosa unlike mwenzako Kosugi mwenye anaweza pingana for days akibadilisha magoli kisa hataki kukubali amekosea.
Njonjo alikuwa hataki kupanda ndege inayoendeshwa na mtu mweusi. Self denial ya hawa jamaa zetu inasikitisha sana.
Hii nyumba imegharimu zaidi ya ksh million 25, ni sawa kabisa kuiita mansion sababu ni very expensive kwa Kunyaland na sio kila mtu anaweza afford
View attachment 2908730