Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia hiyo shule Tanzania imejengwa kwa ksh 96 million ina jengo la utawala, vyumba 28 vya madarasa ya ghorofa, matundu 25 ya vyoo, maabara 3 za sayansi (biology, physics and chemistry) na chumba cha TEHAMA (computer lab)

Wakati Kunyaland mmetumia ksh 100 million kujenga 2 storey library

Pesa hipi ina purchasing power kubwa baina ya tsh na ksh hapa? 🤔

View attachment 2908954

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1759507419380527380?t=SaVn49MiHsanHCLeGW1OsA&s=19

Look at the quality of the buildings and you'll understand why.
 
Library yenu hata plaster haina halafu ni 2 storey single structure unalinganisha na 3 storey buildings with multiple structures (complex)? 🤣

Pesa yenu ni takataka kubali kataa na ndio maana mna madeni mengi lakini hakuna mlichofanyia

20240219_130811.jpg
20240219_130808.jpg
20240219_130804.jpg
images (26).jpeg
 
Library yenu hata plaster haina halafu ni 2 storey single structure unalinganisha na 3 storey buildings with multiple structures (complex)? 🤣

Pesa yenu ni takataka kubali kataa na ndio maana mna madeni mengi lakini hakuna mlichofanyia

View attachment 2908963View attachment 2908964View attachment 2908965View attachment 2908966
Opps kwa sababu ya ujinga wako kumbe unajifunga mwenyewe sehemu yenye gharama kubwa ya ujenzi n.k inamaana ni ya high status e.g jengo likijengwa Dar na dubai haziwezi kuwa bei moja hata zikifanana
 
Look at the photos closely, the library is furnished, your classrooms are just empty rooms. Mabati no box profile. You're stupid. 🚮 🚮

Angalia hapa Mbagathi High School ilijengwa na KES 48M pekee ndio uelewe chenye nasema.
Mbagathi-High-School.jpg
 
Kwa hiyo Kunyaland ni Dubai?

Take example wote Tanzania na Kunyaland tumepewa $670k tufanyie ujenzi, mtajenga choo tu sababu ya high taxation, skyrocketing inflation, unpredictable prices and other embezzlements na ndio maana Tanzania tupo stable na tukikopa dollars billion 1 tunafanya kazi ambazo they will take you 3 billion USD sababu currency yenu ni garbage
 
Sasa Azam akileta pesa tukatae? For your information Kenyans watch local matches KBC. Hiyo Azam anakuliwa tu pesa bure.
Mtake msitake Azam lazima mnunue unless muangalie mpira with low quality view, but if you want to watch football with HD view you must buy Azam decorder utake usitake, Azam anachukua pesa zenu analeta nyumbani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo Kunyaland ni Dubai?

Take example wote Tanzania na Kunyaland tumepewa $670k tufanyie ujenzi, mtajenga choo tu sababu ya high taxation, skyrocketing inflation, unpredictable prices and other embezzlements na ndio maana Tanzania tupo stable na tukikopa dollars billion 1 tunafanya kazi ambazo they will take you 3 billion USD sababu currency yenu ni garbage
Unachekesha ama umejaa ujinga, ukiona kitu kipo expensive let's say ardhi, etc ujue kuna status au ubora ndani yake vitu haviwezi kuwa expensive bila sababu, pia economy ya Kenya ni karibu mara mbili ya tanzanya ni aibu kujilinganisha
 
Look at the photos closely, the library is furnished, your classrooms are just empty rooms. Mabati no box profile. You're stupid. 🚮 🚮

Angalia hapa Mbagathi High School ilijengwa na KES 48M pekee ndio uelewe chenye nasema.
Mbagathi-High-School.jpg
Tanzanya hata state house haipo hivi
 
Back
Top Bottom