Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,653
Jamaa bado ana yale mawazo ya kizamani.😎Shida iko wapi wewe construct ya kiswahili tuone.
Jamaa bado ana yale mawazo ya kizamani.😎Shida iko wapi wewe construct ya kiswahili tuone.
WapuuzJamaa bado ana yale mawazo ya kizamani.😎
Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.Hukuwahi kuwa na akili za kuelewa .
Labda nikutolee mfano utaelewa.
Nyumba kama hiyo Kenya inauzwajwe???
Nipe jibu.
Huwenda ukaelewa kwa mifano maana we ni akili mgando .
Kwa hivo ikija Kenya statistica wanasema ukweli ila ikija Tanzania wanakuwa waongo?Hakuna vifo vya malaria bongo.
NIMEFANYA KAZI SEKTA YA AFYA KAMA AFISA TABIBU HAKUNA VIFO VYA MALARIA CASE CLOSED.
Njonjo alikuwa hataki kupanda ndege inayoendeshwa na mtu mweusi. Self denial ya hawa jamaa zetu inasikitisha sana.Nasikia bwana Kamau wa Muigai alikuwa ana support apartheid regime kipindi cha waafrika kupigania uhuru.
Ndio maana kuna mbunge wa kenya alikuwa anajiita mzungu. Hata leo wakena wanajiita wazungu 🤣 🤣 🤣
Kitu special kwenye hz picha ni miti tu. Ukienda kilimanjaro na Arusha utakutana na nyumba zinazofanana na hzo na mazingra kama hayo kila kona.Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.
There are three main factors that influence the price of a house.
1. Location
2. Size
3. Quality.
Two houses can be 3 BR bungalows but one will cost 3M while the other will cost over 100M.
Look at this Bungalow in Ridgeways. It is a 3BR bungalow. Rent yake pekee ni KES 350,000. Ridgeways is a premium neighborhood (Better than anything you can find in Dar by far) and the land that this house sits on alone will cost you a minimum KES 70M. If you sold this house, it will go for not less than 100M.
View attachment 2908520
This one here is a bungalow in Karen going for 100M Kenya shillings.
View attachment 2908526
Meanwhile this one is a 3BR in Kangundo road going for Ksh. 4.5M.
View attachment 2908528
Now you see how foolish you sound? You can't say a 3BR house in Nairobi goes for 10M when we have large ranges like this. Hizo nyumba za bongo unazosema ni 3BR ya 3M utapata zinakaa hivi na ziko mitaa ovyo yenye vumbi barabara hakuna. So logic yako ni ya kijinga sana na huna masomo wewe.
View attachment 2908533
Ungesoma vizuri post yangu Na Nia ya kuelewa bila haraka ya kujibu, ungeona penye nimesema location is a big factor in the price of a house. Pesa utakazotumia kununua 3BR bungalow Muthaiga ukienda huko Arusha kwenu utajenga 10 mansions za 5 BR umalize. Hapo ndio wataalam wa Maisha husema you're purchasing mainly the status, not just the product.Kitu special kwenye hz picha ni miti tu. Ukienda kilimanjaro na Arusha utakutana na nyumba zinazofanana na hzo na mazingra kama hayo kila kona.
Dar haiwez kuwa na mazngira kama hayo, its geograpghy.
Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?Ungesoma vizuri post yangu Na Nia ya kuelewa bila haraka ya kujibu, ungeona penye nimesema location is a big factor in the price of a house. Pesa utakazotumia kununua 3BR bungalow Muthaiga ukienda huko Arusha kwenu utajenga 10 mansions za 5 BR umalize. Hapo ndio wataalam wa Maisha husema you're purchasing mainly the status, not jn
Umeona hiyo nyumba hapo chini???Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.
There are three main factors that influence the price of a house.
1. Location
2. Size
3. Quality.
Two houses can be 3 BR bungalows but one will cost 3M while the other will cost over 100M.
Look at this Bungalow in Ridgeways. It is a 3BR bungalow. Rent yake pekee ni KES 350,000. Ridgeways is a premium neighborhood (Better than anything you can find in Dar by far) and the land that this house sits on alone will cost you a minimum KES 70M. If you sold this house, it will go for not less than 100M.
View attachment 2908520
This one here is a bungalow in Karen going for 100M Kenya shillings.
View attachment 2908526
Meanwhile this one is a 3BR in Kangundo road going for Ksh. 4.5M.
View attachment 2908528
Now you see how foolish you sound? You can't say a 3BR bungalow in Nairobi goes for 10M when we have large ranges like this. Hizo nyumba za bongo unazosema ni 3BR ya 3M utapata zinakaa hivi na ziko mitaa ovyo yenye vumbi barabara hakuna. So logic yako ni ya kijinga sana na huna masomo wewe.
View attachment 2908533
Huko kwenu sijui ila Tz hakuna vifo vya malaria full stop.Kwa hivo ikija Kenya statistica wanasema ukweli ila ikija Tanzania wanakuwa waongo?
Unajua huyu jamaa ana kichwa kigumu sana I wonder sijui shule kasomea ujinga.Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?
Miti sawa, Dar hakuna miti kama hyo.
Hata Tanzania location ina matter kuuza nyumba ila haifikii gharama ya mnavyouza ninyi.Ungesoma vizuri post yangu Na Nia ya kuelewa bila haraka ya kujibu, ungeona penye nimesema location is a big factor in the price of a house. Pesa utakazotumia kununua 3BR bungalow Muthaiga ukienda huko Arusha kwenu utajenga 10 mansions za 5 BR umalize. Hapo ndio wataalam wa Maisha husema you're purchasing mainly the status, not just the product.
Shida yenu kawaida huwa kiingereza. Nimeongelea mtaa wa Ridgeways kwa ujumla, Sio hizo nyumba. Khaa! Alafu unapata bado mnaharibu kusahihisha grammar ya mtu humu. You all need English classes for real.🚮🚮Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?
Miti sawa, Dar hakuna miti kama hyo.
There's something called location and status. Price of a house in Tandale and Masaki can't be the same hata kama nyumba ni exactly the same.Hata Tanzania location ina matter kuuza nyumba ila haifikii gharama ya mnavyouza ninyi.
Kote Masaki ,Mikocheni n.k n.k uza nyumba uuzavyo ila haifikii gharama za Kenya, kenya gharama ziko juu na nyumba zina ubora na ni imara huku tunajenga kwa kulaza tofali kwa asilimia kubwa.
Kitu nimegundua na huyo jamaa hakuna anachoelewa. Nimeskia akisema ati nyumba za Tanzania ni Bora kuliko za Kenya, ebu mwambie akuonyeshe supporting evidence 😂🤣Sina wakati wa kujibizana na mwehu.🚮🚮
Unachukua nyumba za Uswazi Tanzania versus za Karen 😂😂😂Dude, nimekwambia bungalow ya 3 bedroom is a loong array of houses with different quality. Wacha nikupe somo kidogo maanake unakaa kidogo masomo huna.
There are three main factors that influence the price of a house.
1. Location
2. Size
3. Quality.
Two houses can be 3 BR bungalows but one will cost 3M while the other will cost over 100M.
Look at this Bungalow in Ridgeways. It is a 3BR bungalow. Rent yake pekee ni KES 350,000. Ridgeways is a premium neighborhood (Better than anything you can find in Dar by far) and the land that this house sits on alone will cost you a minimum KES 70M. If you sold this house, it will go for not less than 100M.
View attachment 2908520
This one here is a bungalow in Karen going for 100M Kenya shillings.
View attachment 2908526
Meanwhile this one is a 3BR in Kangundo road going for Ksh. 4.5M.
View attachment 2908528
Now you see how foolish you sound? You can't say a 3BR bungalow in Nairobi goes for 10M when we have large ranges like this. Hizo nyumba za bongo unazosema ni 3BR ya 3M utapata zinakaa hivi na ziko mitaa ovyo yenye vumbi barabara hakuna. So logic yako ni ya kijinga sana na huna masomo wewe.
View attachment 2908533
Hivi kuna cha kubisha hapo? Like seriously unalinganisha nyumba za Tanzania na Kunyaland? Utakua Kichaa, nyumba yoyote nzuri Kunyaland lazima aliyejenga ni mtanzaniaKitu nimegundua na huyo jamaa hakuna anachoelewa. Nimeskia akisema ati nyumba za Tanzania ni Bora kuliko za Kenya, ebu mwambie akuonyeshe supporting evidence 😂🤣
Amesema 3BR bungalow ni 10M Kenya, nikamuambia hiyo statement ni ignorant Sana juu kuna a large array of houses that qualify to be 3BR bungalows yet utapata zenye zinacost less than 3M na zenye zinacost more than 100M, akajibu eti mimi naongelea gorofa naye hajataja gorofa, nikamwambia naongolea bungalows hadi nikampa examples, sahii anebadilisha goli eti alimaanisha nyumba Tanzania Ni cheap in general kuliko Kenya .....amesahau mjadala ulikuwa juu ya ignorant statement yake eti 3BR costs @0M in Kenya.Kitu nimegundua na huyo jamaa hakuna anachoelewa. Nimeskia akisema ati nyumba za Tanzania ni Bora kuliko za Kenya, ebu mwambie akuonyeshe supporting evidence 😂🤣