Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan built bus passing by Crystal Rivers Mall in Athi River.
1707984002446.jpg
 
Si huwa mnapost new sugarcane factories hapa

Ama ni PR za money laundering za wahindi wa TZ????
Shida hili taifa watu hufanya mambo kwa maslahi yao binafsi.
Kama kipindi cha mafuta kupanda kuna wahuni walikua wakiminya supply ya mafuta sheli ili wapandishe bei wadai mafuta yamehadimika.
 
Anasoma post za robot za wajinga kutoka Rwanda kule X halafu anakuja humu kutoa comment za upuuzi.
La mamayeeee. Nyani keshatema bungooo.
Uhalisia RDF/m23 wanapigika huko ila X huleta propaganda eti Sake imenyakuliwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240215-224830_X.jpg
    Screenshot_20240215-224830_X.jpg
    538.8 KB · Views: 9
  • 20240215_225307.jpg
    20240215_225307.jpg
    157.8 KB · Views: 16
Unashindwa ku relate bond mpya ya serikali iliyokuwa issued yenye thamani ya USD 1.5bn pamoja na mabilioni ya IMF and WB na kupanda kwa thamani ya KSH. Hiyo ni simple mambo ya supply and demand hivyo usifurahie sana maana hiyo positive trend haiko attributed to economic strength ni temporary gain. Hata kwenye money markets kuna vipindi currency ina rally and vipindi vingine ina loose the ground.
 
Wapo, ndo wanaitwa Wazalendo au Rebel
Wazalendo ni wakazi wa asili wa nord kivu,goma,sake,bunagana n.k,rebel ni hao m23 warwanda watutsi walioingia congo kipindi cha habyarimana regime mobutu akawaacha free wakazaana ndio hao wanaodai sasa hivi na wao ni wacongo wa kuzaliwa,kule kigoma kuna refugee camp ya warundi toka miaka ya 90 kama ilivyo kagera,wale washazaana na kujukuu iwapo wangeachiwa kama east congo saa hizi wangekua wanacomplain ni wa TZ
 
Tz Iko na consistency gani in football?😂😂🤣🤣🤣.

Ama unaongelea consistency ya not winning a match in AFCON history and not winning a match against Kenya in normal time?😂
Not a single win in the history of AFCON. Now that's consistency 😂
 
Back
Top Bottom