Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz Iko na consistency gani in football?😂😂🤣🤣🤣.

Ama unaongelea consistency ya not winning a match in AFCON history and not winning a match against Kenya in normal time?😂
Consistency ya kuendelea mbele kiviwango.
Imepanda kutoka 135 mpaka 121 mwaka 2022 na sasa imepanda kutoka 121 mpaka 119.
NITAJIE CONSISTENCY YA KENYA.
 
Wenzenu hapa hufanya kama kwamba Tanzanian ni kama Ulaya, hamna tatizo hata!
Yani hakuna kipindi najisikia nina aibu kuwa Mtanzania kama kipindi cha mama Samia Suluhu.
Hiki kipindi Tanzania tuna uozo sana.
Tuna uozo tena sanaa.
Huyu mama asipoondoka madarakani naweza hata kuhama nchi maana 2030 mbali nitachakaa.
 
Tz Iko na consistency gani in football?😂😂🤣🤣🤣.

Ama unaongelea consistency ya not winning a match in AFCON history and not winning a match against Kenya in normal time?😂
2023 TZ Imeifunga Kenya kwenye mashindano ya CHAN .
Usisahau hilo we mburura.
 
WE NI FALA TENA KAMA WATOTO WAKO WAPO USIOMBEE WAFATE AKILI ZAKO.
UMESHUKA KINAFASI TOKA WA 110 KUJA WA 111 UTAKUAJE BADO UPO BORA??
TZ IMEPANDA TOKA 121 MPAKA 119 KAMA WEWE KWELI NI MSOMI NA UMESOMA NANI ANA MUELEKEO MZURI KATI YA HAO WAWILI??
I WONDER ULIENDA KUSOMA NINI SHULE.
Leo ndio nimeona a person who is ever bottom in Class anakemea mwenye anamshinda kwa mtihani kila siku just because amekuwa second bottom instead of the usual bottom last🤣🤣😂🤣
 
Consistency ya kuendelea mbele kiviwango.
Imepanda kutoka 135 mpaka 121 mwaka 2022 na sasa imepanda kutoka 121 mpaka 119.
NITAJIE CONSISTENCY YA KENYA.
Kuwa mbele ya Tanzania every year.
 
2023 TZ Imeifunga Kenya kwenye mashindano ya CHAN .
Usisahau hilo we mburura.
Ebu nikumbushe normal time mlitufunga ngapi?😂😂🤣🤣.

For Kenya we don't need penalties to clobber Tanzania. Remember our of the last 8 matches Tanzania haijaishinda kenya in normal time 😂😂🤣

1707650649440.jpg
 
First time i am seeing Tanzanians actively calling out the government. Maajabu haya.. msiogope bana

View: https://x.com/mariastsehai/status/1756693532918653200?s=46

Sina terminology nzuri za kuelezea.
Lkn huyo ni msemaji wa ccm, ambayo ni chama kinachoongoza serikali. Msafara wake au mkutano wake wa hadhara, mkuu wa mkoa au wakuu wa wilaya, mbunge/wabunge wa chama chake, viongozi au mameneja wa taasisi za serikali katika mkoa/eneo jingine husika huwa wanafuata nae ili waweze kutoa majibu ya maswali au visa/kesi vitakavyoibuliwa na wananchi katikat ya msafara au mkutano wake. So sio ajabu kuona magari ya serikali kwenye msafara wake.
Hizo terminology nilizokwepa ni mambo ya vyeo au kamati sijui za mkoa sijui kamati za ulinzi sijui nn nn.😀
 
Leo ndio nimeona a person who is ever bottom in Class anakemea mwenye anamshinda kwa mtihani kila siku just because amekuwa second bottom instead of the usual bottom last🤣🤣😂🤣
Sijazungumzia huko unakolenga.
Nimezungumzia performance.
Ukumbuke kipindi cha nyuma umekua nafasi 30 juu yangu.
Nimepunguza nafasi mpaka sasa kuna gap ya nafasi 8 tu na mbaya wewe uka drop nafasi moja chini.
Nazungumzia performance.
We jamaa unachosha
 
Kiufupi, M23 ni wanajeshi wa Rwanda waliogoma kurudi Rwanda. Wamebaki kuwapigania wacongo wenye asili ya Hutu, Tutsi

Nadhan hii itajibu swali lako

View: https://twitter.com/BMokelwa/status/1758078299027255332?t=0djANgnXd4eWMettSw2lqg&s=19

Hamna mcongo mtutsi pale,wale wote ni warwanda,TZ tunaona mbali sana maana hata zile camp za kagera na kigoma zisingefuata utaratibu wa kikimbizi wakazagaa tu mitaani saa hizi wangekua wanacomplain ni wa TZ,huku kwetu hata kama ulizaliwa mwaka 1990 ndani ya refugee camp mpaka hii 2024 utabaki kuwa mkimbizi tu
 
Ebu nikumbushe normal time mlitufunga ngapi?😂😂🤣🤣.

For Kenya we don't need penalties to clobber Tanzania. Remember our of the last 8 matches Tanzania haijaishinda kenya in normal time 😂😂🤣

View attachment 2905299
Tafuta match ya CHAN tuliowafunga 3.
Pia nishafunga mjadala sina cha kuzungumza maana we ni mbishani hauna facts.
 
Hamna mcongo mtutsi pale,wale wote ni warwanda,TZ tunaona mbali sana maana hata zile camp za kagera na kigoma zisingefuata utaratibu wa kikimbizi wakazagaa tu mitaani saa hizi wangekua wanacomplain ni wa TZ,huku kwetu hata kama ulizaliwa mwaka 1990 ndani ya refugee camp mpaka hii 2024 utabaki kuwa mkimbizi tu
Wapo, ndo wanaitwa Wazalendo au Rebel
 
Tafuta match ya CHAN tuliowafunga 3.
Pia nishafunga mjadala sina cha kuzungumza maana we ni mbishani hauna facts.
Kenya haikucheza CHAN. Kumbe unapanua mdomo hapa hata ball 😂😂🤣.
 
Kule Congo ni kunoma....civilians ndio wanaumia because of idiots and their grandiose egos. South Africa has lost some soldiers
 
Back
Top Bottom