Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbuka wewe umeshuka nafasi moja sisi tumepanda nafasi mbili.
Kumbuka ulikua 110 sasa wa 111.
Kuna nafasi 8 tu zimebaki kukufikia and unfortunately wewe hauko vizuri kisoka hivyo tunakujia hapo juu.
Kama hatuko vizuri kisoka then how come tuko juu ya Tanzania?

Yani everyday I read Tanzanians comments alafu naendelea kuamini ati watanzania wote ni wajinga.
 
Asa kama anawajali sana si awakaribishe Rwanda na awape uraia??
Yani Rwanda yenyewe nchi ya kifukara halafu bado wanaendekeza migogoro.
I wonder wale wanaomsifia Kagame watakua wanapewa nini!
Wanataka wabaki walipo ndan ya Congo. Sasa Congo (Israel) anawafukuza watoke eneo lao (Gaza), so majeshi ya Rwanda (FDRL/Wazalendo) wanawapigania wabaki
 
Kama hatuko vizuri kisoka then how come tuko juu ya Tanzania?

Yani everyday I read Tanzanians comments alafu naendelea kuamini ati watanzania wote ni wajinga.
Unaonekana huna akili wewe jamaa.
UNAFAHAMU MAANA YA TRANSITION???
TUKIPIMA KWA CURRENT PERFORMANCE TZ NA KE NANI ANA PERFORMANCE BORA??
Kama wewe ni bora ungekuwa na consistency na ungebaki hapo au ungepanda juu ila badala yake umeshuka nafasi moja chini na Tanzania kapanda juu.
 
Mjinga anakuambia Kenya haiko vizuri kwa soka yet Tanzania haijaiwin hata mechi Moja AFCON. The country they are saying is not good in soccer keeps on clobbering Tanzania left, right and center. And to make it worse, Kenya ranks higher than them in FIFA Ranking.
 
Unaonekana huna akili wewe jamaa.
UNAFAHAMU MAANA YA TRANSITION???
TUKIPIMA KWA CURRENT PERFORMANCE TZ NA KE NANI ANA PERFORMANCE BORA??
Kama wewe ni bora ungekuwa na consistency na ungebaki hapo au ungepanda juu ila badala yake umeshuka nafasi moja chini na Tanzania kapanda juu.
Your answer is here.
1707650649440.jpg
 
Ni sahihi raia kupigania kilicho bora.
Kama Uongozi mbovu ni sahihi raia kusimama kidete kukemea.
Na hata ningekua mimi ningeandamana.CAN YOU IMAGINE KIGAMBONI TOKA TUKATIWE UMEME SAA 2 ASUBUHI MPAKA SASA SAA TATU USIKU HAUJARUDI??
NA WANAKWAMBIA MGAO UNAISHA KESHO KWA HALI HII KWELI????
Wenzenu hapa hufanya kama kwamba Tanzanian ni kama Ulaya, hamna tatizo hata!
 
Kama wewe una akili timamu nimekuuliza unafahamu maana ya transition??
JE NANI ANA CONSISTENCY KATI YAKO NA TZ??
UNAZUNGUMZIAJE SUALA LA WW KUSHUKA NAFASI MOJA CHINI NA TZ KUPANDA NAFASI MBILI JUU??
Punguza ujinga
Tz Iko na consistency gani in football?😂😂🤣🤣🤣.

Ama unaongelea consistency ya not winning a match in AFCON history and not winning a match against Kenya in normal time?😂
 
Back
Top Bottom