Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mko wapi?

IMG_9172.jpeg
 
Still below Kenya na mtabaki nyuma ya Kenya milele.
Kumbuka wewe umeshuka nafasi moja sisi tumepanda nafasi mbili.
Kumbuka ulikua 110 sasa wa 111.
Kuna nafasi 8 tu zimebaki kukufikia and unfortunately wewe hauko vizuri kisoka hivyo tunakujia hapo juu.
 
Kumbuka wewe umeshuka nafasi moja sisi tumepanda nafasi mbili.
Kumbuka ulikua 110 sasa wa 111.
Kuna nafasi 8 tu zimebaki kukufikia and unfortunately wewe hauko vizuri kisoka hivyo tunakujia hapo juu.
Badala washangae nchi yao kushuka kwa speed kubwa kila FIFA wakitoa rank mpya yupo anaandika upumbav kuhusu Tanzania inayopanda kila rank mpya zikitoka. 😂😂😂
 
Badala washangae nchi yao kushuka kwa speed kubwa kila FIFA wakitoa rank mpya yupo anaandika upumbav kuhusu Tanzania inayopanda kila rank mpya zikitoka. 😂😂😂
Maskini jeuri hawa.
Wanakufa na tai shingoni. We miaka nenda rudi uko palepale mwishowe umeshuka halafu bado unambeza yule anayepanda kila akiamka.
Badala ujitafakari wewe kuwa unadorora mwenzio anapanda huwenda akakukuta wewe bado unambeza yupo chini yako.
 
Kumbuka umeshuka nafasi moja we nyang'au sisi tumepanda nafasi mbili juu.
Kiuhalisia nani ana improvement???
Nilitaka nieleze hii ishu kuwa Tanzania ina advantage, lkn ngoja nikae kimya, saiz hawataelewa, wataleta ubishan.
Hizo points nafaham wanazipataje. Siku au mda si mrefu nitarud tena kwenye hili suala
 
No one acts with out a reason.
Huwenda kuna sababu ya huyo jamaa kuchapwa.
Sitetei jamaa kupigwa, lkn kiusalama kuna indicators jamaa alionyesha ni hatari. Alikuwa mbele, afu kama alishika kitu kwa kuinama na kama alitaka kukirusha.. alivyoona afisa usalama/ulinzi anakuja akajifanya kama anapungia mkono msafara. Afisa usalama ukihisi hata kachembe cha hatari, ni muhimu kuitatua. Chunguza vizur utaona hili tukio
 
Lol....Are you confessing that the Kenyan assembled Tahmeed buses are better that your ytong cheap Chinese boxes like Kyala sijui what ......Master Fabricators have set the pace in East Africa ....
Usihamishe mada hapa.
Who is the owner of Tahmeed buses??
Cha muhimu kuwa kampuni ya mabasi ni ya Mtanzania na wakenya mnaitumia sana huko kwenu.
Tuletee kampuni ya mabasi ya Kenya inayofanya ushafirishaji abiria ndani ya Tanzania kama Tahmeed?
 
Back
Top Bottom