Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani

1708057346774.png

1708057368188.png

1708057392221.png
 
You are a Mama Ngina punching bag
Huyo hanaga analojua.
Hata kumjibu ni mzigo. Ajiulize Afcon TZ iliingiaje bila kushinda mechi za nyuma??
Consistency ni ile kuendelea na kuilinda performance kila uchwao.
Kitu ambacho wao wameshindwa wamedrop sie tume climb.
Yani sie tuna progress wao wana degrade. Ndani ya miaka 3 tumepunguza gap la nafasi 30+ na kubaki nafasi 8.
Sie ni bora bhana
 
All this is bullshit you are talking. As long as we are on top of you in the ranking I have no time to read this nonsense
 
Huna akili ya kuelewa toka mwanzo.
My advice to you pambaneni muikuze ligi ya ndani ili izalishe vijana wataocheza tena timu ya taifa.
Maana mna drop jitafakarini.
Again, we are still on top of you and you. You can take that to the bank
 
Back
Top Bottom