Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://twitter.com/mbalamukadi01/status/1755707970879410456

Hata ingekuwa wewe ni M23/RDF kwa nini usitoe mlio, sasa imagine vyuma kama hivi vililipuka masaa 6 gongo la mboto, imagine yale mabomu yote yaelekezwe Kikali,

FYI Rwanga yote ni ndogo kuliko Wilaya Nyingi za Tanzania.

NOTE: Siwezi kuthibitisha kama video ni Congo, lakiini kwa Lugha na Uniform kwa asilimia 101% hawa ni JWTZ

Kenya be warned, Nairobi ni ndogo kama Ilala

Wakenya kuweni makini hili ni onyo.
 
Unajua maana ya GDP per capita? 😂😂😂😂😂😂 Unajua Kenya iko na double GDP per capita ya Bongolala?
Hata ikiwa triple inawasaidia nini kunyan,ikiwa mradi m1 tu wa sgr umewashinda umeishia porini,ajira hamna rais wenu amejipa kazi ya kuwaombea kazi hata za kufagia barabara nje ya kundustan
 
ushaenda mwanza ukakutana na waarabu wasukuma au unaongea ujinga usema huyo ni muiran nasema wasukuma ambao ni waarabu pure unalijua hili?
Msukuma na uarabu in one sentence?😂😂🤣😂 Even you I think you can see that you are forcing issues here. Msukuma ni msukuma na mwarabu ni mwarabu, none can be both. As for Somalis, they are called so because Somali is a culture. These people are both in Kenya, Somalia, Ethiopia, Eritrea and Djibouti. Just like Luos, there are Luos of Kenya, Luos of Uganda and Luos of Tanzania.
 
Screenshot_20240210-082344.jpg
 
Who is Karen?

The real figures ndio hizi hapa. Tanzania wakule nyama mingi kuliko Kenya wakitoa nyama wapi?

View attachment 2899275View attachment 2899276
Mzee wa real data 😂😂😂😂 kaokota tu huko sijui nani kaandika Halafu kaleta. 😂😂😂😂 Kwa mimi muuza mbuzi nafurahi kuona hii. My dear sister or brother Tanzania nyama ni kama basic need mzee, nyama inaliwa mno nchi nzima, sio kaskazini, mashariki, magharibi wala kusini. Tz ndio nchi inaongoza kwa kufuga top three in Africa.
 
Who is Karen?

The real figures ndio hizi hapa. Tanzania wakule nyama mingi kuliko Kenya wakitoa nyama wapi?

View attachment 2899275View attachment 2899276
Hii taarifa nakupa ni kutoka kwenye credible source, kutoka kwa serikali sio hizo takataka mnaandika nyie wakunya halafu mnanipostisha humu 😂😂😂😂 Tz kwa mwaka 2021-2022 tulikua tuna consume 830k tones. 👇"Idadi ya mifugo nchini imeongezeka kutoka ng’ombe milioni 35.3 hadi ng’ombe milioni 36.6. – Millard Ayo" Idadi ya mifugo nchini imeongezeka kutoka ng’ombe milioni 35.3 hadi ng’ombe milioni 36.6.. Can you please do the same? Leta taarifa kutoka chanzo kinachoaminika sio unaokota ukota takataka unaleta humu
 
Back
Top Bottom